Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

Sidhani.

Hebu mfano unataka kutengeneza tear drop kwenye paja push ups na jogging zinakupaje tear drop?
Wewe unataka kutengeneza sijui ma- six packs upendwe na mademu..mi sipo huko. Mi nazungumzia kuwa physical fit. Watu wa gym wengi juu ni wakubwa chini wadogo. Mi sipo huko. Mi nipo kiafya zaidi
 
Kwani ni lazima kua juu mkubwa chini mdogo?

Haupo huko ila umesema ni mazoezi tosha kwa mwili mzima. Hata mimi sipo huko kwenye kufanya mazoezi ili nipendwe.

Au we ndiyo zako?
 
Avatar yako inajieleza mkuu
 
Avatar yako inajieleza mkuu
Mwili wa chini body receptors zake zipo slow ukilinganisha na mwili wa juu. Mwili wa chini inawezekana ukawa ripped kuliko hata kujaa, wakati mwili wa juu unajaa fasta kuliko kuchana.

Pia hata wewe unatakiwa kufanya squats.

Picha ni ya zamani.
 
Back
Top Bottom