Donideal_tz
New Member
- Aug 27, 2018
- 3
- 0
Ikumbukwe tu nchi yetu ya Tanzania katika sekta ya viwanda bado iko chini, na kuna kipindi kinafika nyanya zinakuwa nyingi sana na bei zake huwa ziko chini mpaka inafikia hatua zinaoza na kutupwa,
Kwa sababu bei yake huwa chini sana kutokana na wingi wa bidhaa hiii sokoni.
NINI CHA KUFANYA KUTENGENEZA PESA?
Kwa mtaji mdogo sana kwa mfano elfu elfu 20 au 30, nenda shambani kwa wakulima chukua mzigo wa kutosha wa nyanya.
Rudi nao mpaka nyumbani, halafu fanya mambo yafuatayo:-
i. Tafuta kuni za kutosha na sufuria kubwa
ii. Jenga kichanja kikubwa kidogo
iii. Chemsha zile nyanya zote ,
Hakikisha zimechemka sana zote.
iv. Zipakue zote, kisha zimwage juu ya kichanja zitawanye hapo ziache nikauke sanaaa.
v. Zikiwa zimekauka anza kuzitwanga zile nyanya zote kwaa kinu.
vi. Tafuta vile vifungashio, mfano vya nusu kilo,, au kilo moja zipakie humo zote..
Ukimaliza kuzipaki humo ziingize store kwako ziache huko zikae kwa muda wote zikiwa ziko nyingi sokoni..
Halafu inapokuja kufika muda wa uchache wa nyanya sokoni au uadimu wake sokoni kwenye ile miezi nyanya moja mia mbili au mia tatu.
Ingia store toa mzigo wako sasa ingia nao sokoni. Piga pesa ya kutosha kwa kuuza nyanya iliyosagwa
Utatengeneza pesa ya kutosha kwa mtaji mdogo sana..
Ahsanteni[emoji1317][emoji1317]

Upvote
1