Jinsi ya kutengeneza pilipil(liquidfield)

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,296
Habari ya mchana wakuu nmekua na wazo la kutengeneza pilipili yenyewe ladha tofauti na chili source ambayo ndo kidogo imezoeleka kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya naona kidogo chillsource haikubaliki katika soko,hivyo nikawa nawaza jinsi ya kutengeneza aina nyingine ya pili pili na yenye ladha tofauti,nilipita Rwanda kule wanatengeneza pilipili inaitwa " akabanga"ina ladha poa sana na inasoka kubwa ulaya.!!mwenyewe uelewa kidogo tafadhari naomb mchango wako.
 
Nenda SUA, wana wataalamu wazuri wa usindikaji chakula.
 
Habari ya mchana wakuu nmekua na wazo la kutengeneza pilipili yenyewe ladha tofauti na chili source ambayo ndo kidogo imezoeleka kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya naona kidogo chillsource haikubaliki katika soko,hivyo nikawa nawaza jinsi ya kutengeneza aina nyingine ya pili pili na yenye ladha tofauti,nilipita Rwanda kule wanatengeneza pilipili inaitwa " akabanga"ina ladha poa sana na inasoka kubwa ulaya.!!mwenyewe uelewa kidogo tafadhari naomb mchango wako.
Hiyo akabanga huwa naitumia sana ila ni kali na yenye harufu ya kupendeza,inakaa kwenye vichupa kama vya dawa ya macho
 
Back
Top Bottom