Jinsi ya kutengeneza You Tube channel

Jinsi ya kutengeneza You Tube channel

Ila bado email yake unatumia
Ndio natumia, niliifungua mwezi wa kumi Sasa naona mda umenitupa mkono, kipindi naifungua skua na page ya kuitangaza ila nashukuru mungu kwa Sasa Nina page yenye followers 10k ko niliwekeza nguvu kwenye page ili baadae nije niitumie kupata sub.

Vip Hapo ntakua mbali na kulipwa?
 
Hiyo ni njia nzuri ya kujibrand hata kama ni baada ya miaka 6 endapo ukifikisha vigezo vyao hapo kulipwa ni uhakika.
 
aaaah! mkuu mckato ukoje! kwa hio kina eclat, Mshana jr, gentmycin, kasomi, fiancee! wanalipwa hawanaga hasira kabisa hawa
Kuna uandishi hua unatolewa yaani shindano la uandishi mkwanja wanajizolea wa 1,2 na 3 pia 4 na 5 wanapata zawadi.
Hivyo hao ulio taja either hawakushiriki shindano au hawakushinda
 
Kwahiyo mtu asiseme ukweli?
mimi sifahamiani na huyo member, kama amesema kwa utani au kwa kuchangamsha genge sijui ila sielewi nia yake ni ipi, na hata kama ni utani huwezi mtania mtu ambae huna mazoea nae, sijawahi kuwa na ukaribu nae wa namna yoyote au mazoea ndio maana nimebaki nashangaa, kuna baadhi ya members ambao tunafahamiana wangesema maneno hayo ningeona ni sawa tu
 
I beg your pardon mkuu, chunga kauli zako. Sina mazoea ya namna yoyote na wewe na usizungumze mambo ambayo hayana uhalisia kuchangamsha genge, have some respect

mimi sifahamiani na huyo member, kama amesema kwa utani au kwa kuchangamsha genge sijui ila sielewi nia yake ni ipi, na hata kama ni utani huwezi mtania mtu ambae huna mazoea nae, sijawahi kuwa na ukaribu nae wa namna yoyote au mazoea ndio maana nimebaki nashangaa, kuna baadhi ya members ambao tunafahamiana wangesema maneno hayo ningeona ni sawa tu
Just ignore them. Losers will feed you with negative energy. There's nothing good you'll ever be able to gain from them.

The only things they wish for is to drag you down to their mediocrity.
 
Sijaona sehemu umeandika kuwa unaanza kulipwa vipi?......
Ukikamalisha vigezo ambavyo ni Muda wa kutazamwa tawe masaa 4000 pamoja na wafuasi wafikie 1000 hii isiwe chini ya miezi 12 yaani mwaka mmoja.
Hapo ukikidhi vigezo unajiunga na Google AdSense ili upokee matangazo na hapo utaanza kulipwa.
 
Aiseee mi nimeshafungua YouTube channel account Na Huwa ninapost videos vipi malipo ntayapataje? M-pesa au Airtel-Money? Au inategemea na namba niliyofungulia,,,,,,,*
 
Back
Top Bottom