Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitumia mbinu gani kujifunza mkuu, make mi naishia tu kukalili kubonyeza button kadhaa kwamba ndi Key landa C, then sujui hata hiyo Key inatumikaje.Pole sana mkuu, pole
Music bila piano theory ni zero knowledge. Jifunze piano keys
Afu uzuri wake unaweza transpose, mfano ukiweza tu kupiga C na Cm basi utazibadilisha, ziwe key unayoitaka, lakini ni mbaya kama una malengo ya kwenda mbele zaidi, kwasabu utakutana na ma Roland kutranspose huwezi kabisa, inabidi upite mulemule, hususani ukiwa live.
Binafsi piano sikuanzia kanisani, ila mpaka naweza piga nilianzia B#m ila baada ya hapo keys nyingine hazikunisumbua kama F# ambayo wanapiga sana watu wa gospel ila miziki ya kidunia hawawezi japo wanaipenda.
Nakubali mkuu, napangilia ratiba zangu za kiofisi zikikaa poa nitakaa na wataalamu kwa ujuzi zaidi. Shukrani.Hongera mpaka hapo ulipofika but unatakiwa kujinoa zaidi upate sound yako. You need more unique vsts, oneshot kits and drums. Vilevile hata melodies keep them very simple, I know its hard to keep it simple.
Safari ni ndefu ukifanya peke yako ukipata free time utakua kwa haraka.Nakubali mkuu, napangilia ratiba zangu za kiofisi zikikaa poa nitakaa na wataalamu kwa ujuzi zaidi. Shukrani.
Ni rahisi zaidi ukijifunza kupiga nyimbo,Ulitumia mbinu gani kujifunza mkuu, make mi naishia tu kukalili kubonyeza button kadhaa kwamba ndi Key landa C, then sujui hata hiyo Key inatumikaje.
Unasoma nini mkuu ? Unataka kutengeneza piano au kupiga ?Aisee nimesoma mpk nimechanyikiwa!
Kweli kitu kama si passion au kipawa chako utakiona kigumu sana
Yeah, Mimi ni producer tayari broKama ulikwepo vile. Nafanya hii kitu kitambo sana ila mwenyewe. Nilipofika naona nahitaji kabisa wakuunlock ujuzi wangu.
Wewe ni producer tayar?
Ngoja mtaalamu aje atukosoe atupe na ushauri.Mcheki Forest Hill ana jua hizi mbanga.
He is a dj.Ngoja mtaalamu aje atukosoe atupe na ushauri.
Shukrani sana.