Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere akisimama na kuhutubia mkutano mkuu wa kuteua Mgombea Wa CCM bara katika nafasi ya Urais . Alizisitiza "Watanzania wanataka mabadiliko , wasipo yapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM".
Aidha mwalimu Nyerere aliwataka wajumbe kuteua Mgombea atakayekidhi matakwa ya watanzania huku akitaja Mambo manne ambayo Kama wajumbe wangeulizwa wangejibu ndio kutoka ndani ya Mtima wao mambo hayo ni
1. Mgombea atakayepiga Vita rushwa
2. Mgombea anayejua Tanzania Ni nchi maskini
3. Atakayepiga Vita Ukabila (kwasasa tunaweza kuongeza Uzanzibari na utanganyika
4. Atakayepiga Vita Udini
Vyama vinaweza kuendelea kutumia nasaha hizi kwani mahitaji ya Watanzania ni hayo hayo.
Video Rejea :