miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
Habari ndugu zangu? Nimetokewa na mistari miwili juu ya pua katikati ya macho sijui ndowanaita makunyanzi sasa naona inanifanya nionekane mzee, naombeni ushauri nitumie nn kutoa hii mistar au mikunjo au hata mnitajie mafuta yanayoweza kuimaliza hii mistari. Asanteni sana