Jinsi ya kutoa mikunjo kwenye ngozi

Jinsi ya kutoa mikunjo kwenye ngozi

Naomba nishaur serum ipi ninunue maana huku madukan zimejaa hata sielewi ninunue ipi
Nenda duka la vipodozi ukifika waambie wakupe anti-aging serum na face cream.... Wataangalia Aina ya ngozi yako... Alf utapewa yyt kulingana na ngozi yako
 
Nunua product za uk ndo nzuri kama hizo olay, loreal,laroche tafuta serum zake
@Inna nataka nibadili Olay nihamie L'Oréal..

Una expérience nayo ? Kwa sasa natumia hizi
1. Olay total effects 7in one Antiaging moisturiser SPF 15
2. Olay total effects 7in one firming night moisturiser
 
Sasa hizi vitu unavyotumia ukifika ule uzee konki kabisa haiwezi kuleta shida,maana naona wazungu wengi ambao ni watumiaji sana wa hizi anti aging products wanakuwa na ngozi zilizochoka sana wakizeeka,na pia with age obvious itafika umri hutaweza tena kuafford...
 
@Inna nataka nibadili Olay nihamie L'Oréal..

Una expérience nayo ? Kwa sasa natumia hizi
1. Olay total effects 7in one Antiaging moisturiser SPF 15
2. Olay total effects 7in one firming night moisturiser
Yes hata loreal ni nzuri sana
Screenshot_20220716-111822.jpg
 
Back
Top Bottom