Jinsi ya kutoa mikunjo kwenye ngozi

miss chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2019
Posts
303
Reaction score
660
Habari ndugu zangu? Nimetokewa na mistari miwili juu ya pua katikati ya macho sijui ndowanaita makunyanzi sasa naona inanifanya nionekane mzee, naombeni ushauri nitumie nn kutoa hii mistar au mikunjo au hata mnitajie mafuta yanayoweza kuimaliza hii mistari. Asanteni sana
 
Tafuta Olay anti wrinkle. Pia kama unaweza afford ununue na day cream ya Olay pia. Ni nzuri sana.
 
Ndio kwa mfano unavyopaka kwenye paji, lazima umasaji kutoka juu hapo ya pua kwenda juu na sio kushuka chini. Then kwenye mashavu napo unapandisha juu.. Alinifundishaga dada mmoja hivi... Pia hakikisha unamasaji kwa muda sio haraka haraka tu..
Ahsante kwa elimu mpya

Navyoyazungushaga uso mzima 🀣
 
Tafuta serum uwe unapakaa.... Serum zinaondoa mikunjo ya ngozi kwa haraka sana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kwani hiyo mikunjo inakuumiza??. Kama hapana achana nayo fatilia mambo ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…