Jinsi ya kutoa uchawi laana(vijicho) kwenye mwili

Nenda haraka sana Kanisani ukawaone watumishi wa Mungu. Soma fungu la Biblia, Hose 4:6
 
Asante mkuu,kama kweli kuna uchawi mbn kuna watu wanachukiwa tanzania nzima kwa kusababishia watu shida na matatizo? Inamana tanzania nzima kakosekana mchawi wa kuwaloga?
Au uchawi wao ukoje [emoji1]
 
Write your reply...Hao wana kinga kiboko hata cku moja huwez kumroga kiongoz yeyote wa juu hata billionea harogeki
kwa amepitia mambo mengi mno ambayo ww huyawez mpaka amefikia hapo,labda amesoma dua za masaa 6 kila cku ucku manane kwa muda wa miez sita mfululizo kumuomba Mola amlinde na kumpa icho anachokitaka na Mola akampa,je, ww umroge kwa cku moja tu ndio alogeke?
 
Duuh hii sio mchezo...











Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Mkuu mimi kuna mtu nataka aniache yaani nataka yeye ndio avunje uhusiano yani itokee anichukie tu na aondoke bila ugomvi, inawezekana hiyo?
Tunaomba mrejesho wa hii ulifanikiwa?
 
Kuna ukweli ndani yake maana na mm ni muhanga
 
Je yeye ulishawahi kusikia kawafuatilia hao watu kwa undani?
 
Asante mkuu,kama kweli kuna uchawi mbn kuna watu wanachukiwa tanzania nzima kwa kusababishia watu shida na matatizo? Inamana tanzania nzima kakosekana mchawi wa kuwaloga?
Au uchawi wao ukoje [emoji1]
mkuu watu wanafanya adhkari za miaka hata mitatu kwa ajili ya ubinafsi wao na mali na wengine wanafanyiwa na watu na wengine wanashusha makudamu sasa mtu anataka kulinganisha na vimizimu vinavyopewa kuku na mbuzi kila mwisho wa mwaka,
Sasa mtu anakuwa na kiumbe wewe hujapepesa jicho kashaua mashetani kama 100 around sasa hako kamoja unakozungumzia kwa wachawi kinachowasaidia kupaa na kuroga kitaweza kumudu huyo? huyu bwana anakazungumzia si hata ajamaliza kufikiria kameshafungwa.
Unataka kumdhuru mtu kwa kosa lipi? au tu kuonekana unaweza? ndio maana waganga na matabibu wengi mwisho wao mbaya kwa kufurahisha audience

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…