Jinsi ya kutoa uchawi laana(vijicho) kwenye mwili

Hapa washirikina utawashika sana akili mkuu endelea hivyo hivyo kuwapiga maboya?

GunFire
 
Matumizi ya majini ni ushirikina na Mungu wa kweli hapendezwi nayo. Kuna dini zinatumia majini sana na kweli dini hizo ushirikina ndio dini yao na ni kawaida kabisa. Na madhara yake yanaonekana kwa watu hao.

Ndugu kuweni huru ni kwa uwezo wa Yesu Kristo pekee mambo yote hutendeka tena kwa urahisi mkubwa huhitaji mitishamba hata kidogo.
 
Asante kwa kuchangia mada na karibu tena

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina LA Yesu kiboko ya uchawi na ushetani Hapo bado Mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…