Vipi Kama nilibadilisha jina wakati naingia kwenye Imani nyingine , labda nimeingia kwenye ukristo au uislamMkuu nyota za kweli ni nyota za jina uliopewa na wazazi pamoja na jina la mama hizi za tar zimewekwa tu in general lakini hazifanyikazi kama hizo za kuzaliwa nazo
Sahihi kabisa ya nyota yako inakuwa ni ile iliyochomoza wakati unazaliwa ila kama umebadili dini unaangalia hapo wakati unazaliwa kama mama hakumbuki saa maana yake unatumia jina jipya la ubatizo au kusilimuVipi Kama nilibadilisha jina wakati naingia kwenye Imani nyingine , labda nimeingia kwenye ukristo au uislam
Chukua dakika 2 kufikiria zahma ulizowahi kuzifanya katika uhai wako hadi leo nahisi utajua ni kiasi gani binadamu hucheka ya mwenzie na yake huyahifadhi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mwingne alisema moyo wa Simba na kipande Cha nguo iliofunikia maiti mda mwingne binadam tunafanya Mambo ambayo hata ibilis mwenyew anaogopa kuyafanya
Pole sana mkuu,Nacheka sna maana n Mambo ya kijinga
[emoji2969][emoji2969]Pole sana mkuu,
May Allah be with you and bless you with husnul khatimah..
Rakims
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Mkuu kama Mimi sijui tarehe Wala mwaka wa kuzaliwa nawezaje kuja Nyota yanguSeen
Sidhani kama unajua yote kuhusu ulimwengu wa giza hata uwe na phd ya mambo hayo still bado huwezi master.Uchawi ni bahari.Umeandika mengi lakini mfano uliotumia hauna mashiko na wa kitoto sana.
Ni mfano mtu mzima aseme nikiwa mkubwa nitakuwa rubani.
Hii ni jamii intelligence unapojibu au kuchangia hakikisha kichwa chako kipo katika hali nzuri
Rakims
Yes,bahari means usivyovijua ni vingi kuliko uvijuavyo.Kuna Phd za uchawi?
Well bahari ipi hii ya Hindi au Sham?
Kuna ndugu yetu amefanyiwa husda, Sasa ameanza kukimbia hovyo je unaeza mtibu na uko mkoa gani??Kuna Phd za uchawi?
Well bahari ipi hii ya Hindi au Sham?