Jinsi ya kutoboa kupitia biashara ya mazao (nafaka)

Hilo gunia la 250kg lina debe ngapi mkuu? Mbona kama kilo ni nyingi sana hizo kwa gunia la 300k?
 
Mimi nimzeoefu sana nimekuja kahama mwaka huu mwezi wa 9 kufanya biashara ya mpunga lakini nilichokutana nacho sasa hivi sina hata mia ndugu changamoyo ni nyingi sana yaani asikuambie mtu. bado tupo kahama na hatujakataa tamaa na hatutorudi nyumbani
 
Elezea ndugu ilikuaje
 
Ulikutana na changamoto Gani,.,?
 
Ulikutana na changamoto gani??.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚umeelezea vzur ila gunia la njano kuwa na kg250 sio kwel ndgu,na hata likifika dar haliwez kuwa 750k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…