Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

VIP mkuu ukitoka in lucid dream huwez kuwa na hizo power?
Ukimuster Lucid Dreams Utakua Una psychic power moja tu kuskia watu wanaongea kichwani randomly na kujua few stories za watu wapiokufa kale,

Rakims
 
VIP mkuu ukitoka in lucid dream huwez kuwa na hizo power?
hiyo ni kwa hali halisi ila kama ni ukiwa ndani ya lucid dream chochote unachotaka unachohisi unataka kukifanya hakiwezekani kule kinawezekana...

Rakims
 
Unakosea Kusubiri Kitokee Kitu Wakati Unatakiwa Utulie Ufuate Waves Za Ubongo,
Ewaaah!! Hilo ndo lililonisumbua mno siku za kwanza nilipoanza kufuatilia hii post yako, nilikuwa nasubiri hadi masaa 3! Najikuta sioni kitu wala lolote lile ila sasa ni 20 min tu nakuwa kwenye paralysis state, asante bro nazidi kwenda mbele, kikubwa nilichogundua haitakiwi pupa.
 
Rakims
Mbona natulia mpaka dakika 20 _30 hakitokei chochote ? Nakosea nini ? Msaada tafadhali
Mzee ukiwa umetulia usiwe makini na kuwaza kuwa kitatokea nini saa hiz!
wewe tulia tu uwe kama siku nyingine tu unavyotaka kulala, jinsi ambavyo huwa unajiweka kiakili, kubwa uwe umelala chali.
 
Hongera sana mzee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] daah! nakuonea mimi natoka kabisa ila ghafla najikuta naanguka tena kwenye mwili wangu, af nashindwa kuona chochote naona giza kali!
 
Mshawishi atutengenezee lingine
Kwa pamoja tufanye group Kisha mwenye uelewa zaidi atawaelekeza wenzie alipofikia, kwa aliye interested anitext kwa 0677838364 tufanye group, siku kaka Rahim akiwa fresh nae atakuja kutupanua maradufu.
kama kuna uwezekano wa kujiunga kwenye ilo group la whatts up ningefurahi sana ningejifunza mengi kuhusu astral projection

Kwani haiwezekani na sisi tukatengeneza kundi la WhatsApp..!?
Alafu tukawa tunaelekezana..?
Wale wazoefu kidogo wakawa walimu wa wale wanaoanza..?
Jamani tujaribu kushare hii elimu!!!
 
kumbuka kuvisualize mwili wa pili kila unapopata vibration

Rakims
Naomba ufafanuzi hapo maana leo nilifika hatua ya vibration, nilipojaribu kuinuka mara mbili nilishindwa.Nilipojaribu mara ya tatu nikajikuta nimeshituka. Tatizo nini hapo.
 
Hiyo namba 8 ilishawah kunitokea, unakuwa usingizini lakin unaona kila kitu ila kuamka ndo unashindwa ni kama maiti vile
Umejuaje maiti inaona kila kitu ila kuamka inashindwa?
 
usijaribu ndugu bado tunakupenda
 
Kwa pamoja tufanye group Kisha mwenye uelewa zaidi atawaelekeza wenzie alipofikia, kwa aliye interested anitext kwa 0677838364 tufanye group, siku kaka Rahim akiwa fresh nae atakuja kutupanua maradufu.
Group limeshaanza na mm nije
 
Hili swala unaweza kukusudia au usikusudie na ukaenda kusafiri mbali sana na kujionea mambo mengi sana,malaika ambao kila mtu anao katika mwili wake wanaweza kuipeleka sehemu fulani roho kuona jambo ambalo unapaswa kulifahamu na hii hutokea sana kwa wacha mungu ila kwa wale ambao wanakusudia ni hatari sana kupita maelezo.Mimi mara nyingi nasafiri sana nikiwa nimelala bila ya kukusudia na kiukweli vitu ambavyo hua naviona nikisema nntaambiwa nimechanganyikiwa.Ila mbeya ni noma sana nimeshawahi kwenda mbeya kama mara saba lakini kuna mara mbili bado kidogo sana nisirudi.halafu hua hata sitamani kwenda mbeya lakini sijui kwanini inatokea hivi
 

rakims ni kweli aisee leo nimejaribu mara tatu mara ya nne ikakubali mwili ulikua unatetemeka mno when soul ilipokua inatoka aiseeeee nimeaamini,, yani nlkua nshatoka nkawa nimekaa kabisa kitandani nnafocus kwenda kufata simu yangu kwny meza lkn nikafreak out kisha nikashtuka!!!!! its true guys just relax your mind,,
 
Tobaaa hapanaa dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…