Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo muhimu hao wanafunzi wenu, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Waambieni nguvu zinazotumika kuyafanya haya sio nguvu za Mungu ni nguvu za giza!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.

Masharti ni haya.
  1. Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa funguo, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha kwa kukutingisha kwa nguvu na kuchange ile position yako hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
  2. Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ya astra plane (ni maisha ya kichawi) ndio bora zaidi kuliko real world, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, wewe ni safari jumla!, zinageuka mchawi!.
  3. Hizi ni highest stages za meditation ambazo haziruhusiwi kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised bila supervisor na supervision, vinginevyo ni safari jumla!.
  4. Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening up the "third eye!"
  5. Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Wito wangu mimi wa wafuatiliaji wa haya makitu, kama hujui unataka nini, au utoke out of body ili kuachieve nini, please don't try this or do it!. Mtu asikudanganye kuwa its very fun to go out of body, is not fun!. Too much knowledge on anything is harmful, please don't try unless you are very sure of what going into, and you are trying to do and what to achieve and not doing it for fun!, na ujue unaingia kwenye ulimwengu wa majini na ushetani!.

Paskali
Kwa kweli nimekosa lugha kukupongeza kwa hili.
ITOSHE KUSEMA HUU MCHEZO UNAHUSISHA NGUVU ZILIZO NJE YA UWEZO WA KIBINAMU kifupi nikuwa Hyponized, au kuwa chini ya mamlaka za Kishetani WANAO JARIBU WAJUE MADHARA YAKE HALAFU WAENDELEE. Hongera
 
Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo muhimu hao wanafunzi wenu, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Waambieni nguvu zinazotumika kuyafanya haya sio nguvu za Mungu ni nguvu za giza!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.

Masharti ni haya.
  1. Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa funguo, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha kwa kukutingisha kwa nguvu na kuchange ile position yako hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
  2. Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ya astra plane (ni maisha ya kichawi) ndio bora zaidi kuliko real world, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, wewe ni safari jumla!, zinageuka mchawi!.
  3. Hizi ni highest stages za meditation ambazo haziruhusiwi kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised bila supervisor na supervision, vinginevyo ni safari jumla!.
  4. Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening up the "third eye!"
  5. Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Wito wangu mimi wa wafuatiliaji wa haya makitu, kama hujui unataka nini, au utoke out of body ili kuachieve nini, please don't try this or do it!. Mtu asikudanganye kuwa its very fun to go out of body, is not fun!. Too much knowledge on anything is harmful, please don't try unless you are very sure of what going into, and you are trying to do and what to achieve and not doing it for fun!, na ujue unaingia kwenye ulimwengu wa majini na ushetani!.

Paskali
Tafadhali Hannah njoo usome hapa pia, these are synonyms
 
Back
Top Bottom