Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Aiseee hongera. Hadi umejaribu kuonja sumu
 
Hongera mkuu!! unaingia katika ulimwengu mwingine sasa!!!
 
Naomba ufafanuzi hapo maana leo nilifika hatua ya vibration, nilipojaribu kuinuka mara mbili nilishindwa.Nilipojaribu mara ya tatu nikajikuta nimeshituka. Tatizo nini hapo.
Usijilazimishe Kutoka Weka Hisia Kwenye Mawimbi Ya Mwili Wa Ndani Ni Rahisi Mkuu Ukifika Paralyses State Unahisi Miili Yote Miwili Kwenye Kuchagua Huwa Ugumu Unajakuja Pale uangalia Upi Sahihi Na Upi Si Sahihi.. Sahihi Unaongozwa Kwa Nguvu Ya Fikra Ambao Sio Sahihi Unaongozwa Na Movement Za Hiari...

Kuwa Makini Hapo Vinginevyo Utakuwa Unaishia Hapo Hapo TU.


Rakims
 
nahisi ndo ile wanasema flani kafa usingizini
Watu wanakufa usinhizini kwa mambo mengine ila siyo astral projection unajua astral projection hata ukipishana na mtu unaweza ukazungumza na astral body yake kwa kuitoa nje.... sasa kama kufa huko ni rahisi basi tungekua tunakatana tu silver cord mtu anaenda zake...

hujawahi kukaa ukazubaa sehemu moja then baadae ukastuka ukaona kama ulichokua unawaza hukijui?

Na Fahamu Ya Kuwa Dk 1 Astral Planet Ni Sawa Na Masaa Mawili Na Sehemu...

Fanya Utaprove Acha Kuongelea Mawazo Ongelea Matendo...

Rakims
 
Haya Kwa Wale Wenye Kuitaji Group Only 50 People Whatsapp Kwa Astral Projection Pekee...

Mahitaji:
1: kalamu 2 nyeusi & Nyekundu

2: Counter Book 2 au Diary 2

3: Nidhamu, Subira,Mazoezi Kila Siku & Uvumilivu Vinahitajika Sana


Kama Upo Nje Ya Vigezo Usiingie Tusisumbuane Within One Month Nahitaji Nusu Ya Hao 50 Muwe Mmemust Na Kureta Mrejesho Tik Tok Time Start Now...

Rakims
 
Kwanin kalami nyeusi na nyekundi
 
We Njoo Hata Na Pinki Na Kijani Mradi Kalamu Mbili Tofauti...

Rakims
Vip inakuwaje kupiga msuli ukiwa kwenye hali hiyo na ukawa na uwelewa mkubwa wa masomo au kijifunza teknoligia yoyote mfano komputa au mapishi


Naomba namba ya hilo group
 
Vip inakuwaje kupiga msuli ukiwa kwenye hali hiyo na ukawa na uwelewa mkubwa wa masomo au kijifunza teknoligia yoyote mfano komputa au mapishi


Naomba namba ya hilo group
Unaweza Vema Tu Tena Ukijifunza Kule Kitu Kinakua Kigumu Kusahaulika....

Pm Number Yako...
 
Joining Fees Sh 2000/= Maana Ukiingia Bure Utataka Utoke Bure Kila Topic Ikiisha Inalipiwa Kwa Mwenye Kutaka Kuendelea Na Next Topic..

Rakims
 
Cdhan kma ni mchezo Wa kufundishana
Nyie huwa mnadil na wachawi nahis hiyo ni michezo ya kichawi
Uchawi Unatumia Magical Tools Na Vitu Vichafu Vichafu...


Hii Unatumia Ubongo Ambao Ndio Muujiza Mkuu Wa Binadamu Binadamu....

Kama Tu Wanao fikiria Wangejua Kuongea Na Wanaoongea Wangejua Kufikiria....


Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…