Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Uchawi Unatumia Magical Tools Na Vitu Vichafu Vichafu...

Hii Unatumia Ubongo Ambao Ndio Muujiza Mkuu Wa Binadamu Binadamu....

Kama Tu Wanao fikiria Wangejua Kuongea Na Wanaoongea Wangejua Kufikiria....

Rakims
Sawa ndgu
 
Pitia Na Hapa Mkuu Uweze Kupata Kutofautisha Hatua Hizo Utakazo Pitia Ili Uweze Kutofautisha Mazingira Ya Humo Ndani Ya Third Eye...
MziziMkavu

Rakims
 
huko sasa si kufa?
 
Hapana Hii Ni Mambo Ya Kiroho Tu... Proof Ya Roho...

Rakims
mkuu unaweza ukaniambia roho inakaa sehemu gani katika mwil? na ukishafanya hiyo kitu ya kutoka nje ya mwili huo 'mwili mpya' ndo roho au
 
mkuu unaweza ukaniambia roho inakaa sehemu gani katika mwil? na ukishafanya hiyo kitu ya kutoka nje ya mwili huo 'mwili mpya' ndo roho au
Roho Inapokaa Na Roho Ni Siri Ya Mwenyewe Mwenyezi Mungu Ila Jicho la tatu ni mlango wa roho sasa Na Astral Body Yani Mwili Wa Nafsi Sio Roho Pia Isipokua Elimu Ya Juu juu wanasema ni roho ila sio roho mkuu no body knows anything about roho...
 
Yanayoendelea... Astral Group Kwa Wale Amba Hamna Whatsapp Na Mnapitia Huu Uzi Mara Kwa Mara...

Wewe Unatakiwa Ufanye Taratibu Si Kukurupuka Hiyo Miungurumo Ya Kujikurupukisha Acha Ganzi Itake Place Walau Kwa Dk 2 hadi 5 hivyo hivyo unakua unafanya kama kujiinua...

NB: Penye Nia Pana Njia Jikaze Mkuu Ukitoka Nakupeleka Level Ya Pili Hivyo Hivyo Kwa Anaetoka Pia Hakilisha Huendi Mbali Walau Km 1 jifunze kuongoza huo mwili usitoke tu ukaanza na Kupaa...

Rakims
 
kwahiyo mkuu vipi kuhusu hiyo nafsi.. ina utofauti gani na roho nayo inakaa wapi kwemye mwili
 
kwahiyo mkuu vipi kuhusu hiyo nafsi.. ina utofauti gani na roho nayo inakaa wapi kwemye mwili
Nafsi Inakaa Ndani ya mwili ambayo inaongoza mwili wa nyama pia yenyewe sio roho bali roho imo ndani ya hiyo nafsi hiyo nafsi ipo katika jicho la tatu ambalo huunga mwili wa nyama na nafsi mwili wa roho

rakims
 
utakufa unajiona shaur usko
 
Mkuu kwa mfano ukinogewa ukipaa au ukienda mbali kwa Mara ya kwanza inakuwaje ,ase kuna madhara au
 
Naomba kujua unapofanya astral projection Kama usiku unakua unaona Kama ni Giza la usiku na unapokua mchana unaona mwanga au mchana na usiku kunakua na hali moja?
 
Rakims

Kipengele namba nane ni kweli hata mimi nathibitisha, huwa mara nyingi tu huwa nastuka usingizini, nafumbua macho kabisa ila siwez fanya chochote, mwili ni kama si wangu, halaf ghafla napata nguvu, unaweza kuielezea hii kwa undani zaidi?
hata mie pia inanitokeaga sana hasa nikilala mchana hii inamaana gani rakims
 
Mkuu kwa mfano ukinogewa ukipaa au ukienda mbali kwa Mara ya kwanza inakuwaje ,ase kuna madhara au
hapana hakuna madhara kwenda ni mbali maana hadi ifikirie kurudi karibu tu hata ukiwaza ulipolala unakua umerudi
 
Naomba kujua unapofanya astral projection Kama usiku unakua unaona Kama ni Giza la usiku na unapokua mchana unaona mwanga au mchana na usiku kunakua na hali moja?
kitu cha kwanza kujua ni kwamba kila kitu astral plane kina aura ya nafsi hata kikombe hata mti pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…