Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Kuna sehemu tatu unaweza kujikuta umeingia pale unapotoka nje ya mwili takuja kuzielezea
 
Afadhali umetoa tahadhari ndugu maana mimi binafsi bado sijaona mantiki ya kufanya hivyo kutokana na uelewa wangu. Hatari ni kubwa sababu wakati ukiwa na wazo hilo na shetani naye anakuwinda, ikumbukwe jambo hili mtu analifanya pasipo maelekezo ya Neno La Mungu, usalama hapo upo wapi?!
 
Jimmy haya mambo yapo hata kwenye Biblia, Ufunuo wa Yohana au wengi wa manabii wanapozungumza na Mungu hulala na kuoteshwa. Hata Nabii Moses hii ndio njia aliyokuwa akiitumia kuzungumza na Mungu.

Kila siku watu wote wanatoka out of body kwenye ndoto. Tatizo ni pale unapoamua kutoka out of body willingly unatoka out of body to do what?!.
Paskali
 
Ningemansion jina la mungu hapo ningezua mada mpya mkuu,
Akili za kuambiwa changanya na zako hii ni kwa watu wote, kama ukitaka kuiexperience kidini fanya tu mkuu...

Rakims
 
Asante kiongozi, ila wakina Musa walikuwa wanasoma Neno La Mungu, si kama hawa wenzetu wanajiamulia tu kwenda, mwingine unakuta katoka kutembea na kimada wake anataka kusafiri nje ya mwili! Hatari sana
 
Mimi binafsi jamaa hanishauri kufanya hii kitu maana ishanitokea nauona mwili wangu najitambua Ila siwezi kufanya chochote nimebaki na akili tu.Afu pumzi pia inakuwa sio nyingi mwili huo was roho haupumui kama wa kawaida nikifumba macho naona sipo duniani na cjui nipo wapi.Wazo likaniijia nichezeshe vidole hapo ndio nguvu zikarudi sitaki kusikia haya mambo ni half of death.Msijaribu mkuu ni kama umekufa afu unajiona upo hai hatari mno.
 
Ahsante Sana kwa somo Rakims . Mi happy zamani nilikua na kawaida ya kuota ndo tofauti za kupaa etc, lkn Mara nyingi hutokea nikiwa nimelala chali badae nikagundua kitu. Flani yani nikiwa naota ndoto mbaya Basi memory inanambia nijitikise kwa nguvu pale nilipolala Basi najitikisa then nastuka, badae nikagundua nikilala chali ndio sababu ya ndoto mbaya na nzur hutokea nikabadili mlalo nikawa mlala ibavu so zikapungua na kwisha kabisa. Je hii nayo Ni AP?
 
Hapana mkuu hiyo ni lucid dreaming mkuu soma kwenye uzi wangu wa jinsi ya kuongoza ndoto za usiku...

Rakims
 
Mkuu katika somo lako kipengele cha kumi Kuna neno linasema, " vipo ambavyo vinaonekana katika real world" ulimaanisha nini ? Au unamaanisha waweza kuonekana km kawaida au?
 
Santee
 
Mkuu katika somo lako kipengele cha kumi Kuna neno linasema, " vipo ambavyo vinaonekana katika real world" ulimaanisha nini ? Au unamaanisha waweza kuonekana km kawaida au?
Hapana vitu unavyoweza kuonyesha kwenye real word ukiwa huko ni kuact as a ghost kila mnyama unaweza kumtusha akakimbia kasoro ndege yeye atataka akutulie na kukosa pa kutua, vingine ni kumanipulate vitu kwa psychic powers mfano kuzima taa kuhamisha kitu na mengineyo,

Rakims
 
Mr Rakims, je viumbe vingine km majini, mbuzi, punda etc wanaweza kukuona?
Je astral projection haiathiriwi na ichawi na wachawi?

Watu wachawi na wanga wanaweza kukuona?
 
Rakims elimu hi inamuwezeshaje mtu atajirike?
Hapo itategemea na aina ya psychic power atakayo kuwa amecharge mkuu wengi huwa wanaona uganga ndio deal wakitoka wakati hilo ni jambo moja la mwisho kufikiria katika mambo 21, mkuu

rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…