Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Kufanya Astral Projection ni sawa na kununua chombo cha moto kama vilivyo vitu vingine lazima tu ukikitumia vibaya au ikiwa mwenyezi mungu Kapanga upitie huko ndio utapitia huko lakini, kulala usingizi nayo ni hatari kwa maana kuna mengi yanaweza kukuzulu ukiwa usingizini, hata heart attack inaweza kusababishwa na mtoto wako mwenyewe akikuijia vibaya hivyo mazingira yote yanayotuzunguka ukienda nayo vema ni rafiki na ukienda nayo vibaya ni adui, kuna watu wanaugua wakikosa umeme lakini huo huo unaweza kukuua na pia kuna watu wanapenda sana kunywa maji, pia hayo hayo yanaweza kukumaliza, chochote ukijifunza vema basi utacheza nacho salama

Rakims
 
wadau kuna yyte amewahi jaribu hii kitu baada ya kusoma miongozo ya rakims humu? nataka binafsi ator ushuhuda ilikuaje.

mimi binafc huwa sina nia ya kufanya ila hii hali hunijiaga automatic siku nyengine...najihisi hasa kama mwili umegawika mara mbili lkn najitahidi kama kujitingisha ili ule.mwili mwngine uje ujivalishe mwilini...japo huwa sijioni live km inavoelezwa hapa huwa kama nipo ndotoni, lkn wakt nilipolala najihiisi km nna fahamu zangu na kule ndotoni nayaona matukio mengine...sasa kule ndotoni huwa kunatokea kama vitisho fulani hivi ambavyo ndo hunifanya nikimbie nirudi huku nilikolala...hali huwa mbaya sana maana kama huwa kama mwli umeganda cwezi kufanya chochote but after few seconds nakaaa sawa hlf najigeuza nafumbua macho...hlf mwili kama unakuwa unasisimka hivi.

hlf hali hii ikinitokea huwa nasikia sauti ya ajabu sana yani mithili ya ndege inayotaka kupaa au kutua...yani ule mvumo wake wa ndege...ati zwiiiiiiiiiiih[emoji848][emoji848]
 
Mkuu sio kila hali kati ya hali hizi ni AP hapana zingine ni vimbwanga vya mashetani na wachawi

Rakims
 
Mkuu sio kila hali kati ya hali hizi ni AP hapana zingine ni vimbwanga vya mashetani na wachawi

Rakims
kwa hali inayonitokea cdhani kama ni hali ya vimbwanga au uchawi...huwenda ni hii mechanism ya AP na hasa nikihusisha na bandiko lako hili,kwa hatua ulizozitaja na hali ambazo husema mtu humtokea.

halafu Mkuu ebu nidokeze kidogo,kuna faida za msingi kweli kufanya huu mchezo,yani katika maisha halisi...itanisaidia vipi yani au ni km game tu unacheza hlf kila kitu kinaishia huko huko.?
 
Never give up , its really interesting,easy,enjoyable and stress relief but above all it is a cure.make sure your thoughts are moral not sinister, kuna kitabu kinaitwa "nguvu ya akili"/ameielezea kwa kiswahili vizuri sana for the biginners,kitafute kitakusaidia.
 
Hakuna uhusiano, kuhama kiakili ni wishfulness au willingly acting.
 
Huwa nafanya Mara nyingi tuu tangu O level ,kwa yeyote aliyejifunza "yoga" na "dini" hiyo topic ya astral body projection IPO ktk meditation, ni tiba nzuri ,angalizo; be moral in doing that don't do it for evil reasons .
 
Napenda aana kufanya A.P ila nikifika katika sleep paralysis uwoga unakuja sijui unatokea wapi......
 
Napenda aana kufanya A.P ila nikifika katika sleep paralysis uwoga unakuja sijui unatokea wapi......
lazim uoga uje maana c hali ya kawaida..ila uifanikiwa kutoka siku 1 tu ndo basi tn uoga unaondoka na ndo utakuwa mchezo wako huo.
 
Nimeweka faida zake hapo mkuu
 
Hii mbona km ngumu kidogo... njia nyingine ni ipi hy?
 
Sir Rakims !
Nimejaribu Astral projection sijafanikiwa Moja kwa moja
Tatizo itakuwa nini?
Nilitoka nikaona mwili Wangu unakoroma kama unakata roho nikarudi fasta iyo ni kawaida au ndo nilikuwa nakufa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…