Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Kwa anayejifunza; tafuta sehemu tulivu isiyo na kelele .Lala chari,legeza viungo vyako vyote achana na vyote katika mwili na mawazo kuyahisi na kuvihisi ,achana na mawazo yako yote kabisa sikiliza pumzi yako tuu na mzunguko wa damu na mapigo ya moyo na hivi navyo uviache na ubaki mwenyewe tuu , . mawimbi ya akili yatatingisha au chochote paja la USO na ndiyo unaingia sasa na kutetemeka au kupaa hewani na kujihisi we we ni skeleton haswa. Na unaweza Fanya chochote sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi tuseme ameen.

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hizo occultism, hayo mambo yanadhoofisha afya yako kiroho, yoga/kundalini inafungua roho yako unakuwa open to demonic attacks and possession.

Ziko barriers Mungu ameweka kiroho kutulinda, unapofanya astral projection/yoga you pull down those barriers and leave yourself vulnerable to evil spirits.

Sent using Sukhoi Su-57
 
Jamani kuna watu wanasema unaweza ukafa nimesoma wikihow wanasema nafsi imekua connected na mwili so huwezi kufa lazima tu itaru kwenye mwili.
 
Ila kweli mkuu kuna vitu vingine vimekua forbiden by God,kama amekua ameruhusu basi kila mtu angeweza kufanya bila hata kufundishwa hapo tutakua tunamprovoke Mungu.
 
Interesting
 
Mambo haya makuu walifumbuliwa watoto wachanga, na wenye akili za kijima walifumbiwa. Ignorant people can not talk of such high spiritual knowledge. Shida yenu mnafikiri mkisha soma soma kidogo mnadhani baaasi. You are not my broda.
Rakims thanks for good astra projection lesson in swahili.
 
You are being deceived!

Sent using Sukhoi Su-57
 
Swali zuri sana maana hivi vitu havimo kwenye Biblia Takatifu which means havitoki kwa Mungu wa Mbinguni bali kwa shetani na mawakala wake wa kuzimu.

Sent using Sukhoi Su-57
Bora hii mada Mkuu nilihisi ni sayansi nilivyocheki Na mada zingine za Jamaa eti kumwita hadi jini Na umtume chochote tena naambiwa niwe tayari Na kumlipa mshahara
Kweli nimeweza hii Ap lakini sijui kama nitaendelea maana unaweza kuta hii elimu INA malipo Yake baadae hata roho yangu na
Uwezi pata hofu usipo soma Na mada zingine za Rakims
Haya yote kajivunzia wapi Ndotoni au msikitini



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo "rakims" ni wakala wa shetani aliyetumwa kudanganya wana wa Mungu ili wauze/waweke nafsi zao kwa shetani!

He is a bloody satanist na sijui kwanini wanajf hawalioni hilo! Roho Mtakatifu awaokoe wote waliodanganywa na huyu mshirikina wakala wa kuzimu

Sent using Sukhoi Su-57
 
Elimu hii ilianzia Asia lakini kutokana na faida zake imeingizwa katika masomo ya tuba hasa zile za kipsychologia (metaphysics)-uhusiano wa roho,mwili/ubongo na nafsi zinavyofanya kazi efficiently na kuondoa fatigue na stress na Maladhi sugu mbalimbali ya nerves disorders na mengineyo kadhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…