Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Asante mkuu kwa ushauli na angalizo .mana bado kidogo nianze jalibu ako kaupuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your welcome mkuu, asante kwa kusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari sana aisee. Hadi naogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je hii inaweza nisaidia kwenda kuchungulia mademu ? kuingia benki na kuchukua hela ?
 
NIMEJARIBU MARA KADHAA KUFANYA HIVYO BUT PINDI NINAPOTOKA KATIKA TENDO HILO NAHISI KUWA TOFAUTI SANA; ACTUALLY SIJAFANIKIWA KUTOKA LAKINI HII KITU IPO! NATHIBITISHA. NINAPOKUWA NIMEFUMBA MACHO HUWA NAHISI KUONA KANA KWAMBA SIJAFUMBA MACHO; NINACHOSHINDWA KUJITENGA TU LILE JICHO LA 3 ANALOSEMA BRO. #MSHANA Jr.
 
Muwe waangalifu na jambo hili ni hatari na huweza kutumika kama portal au mlango au sababu ya kuingiliwa na roho chafu. Ni kitendo ambacho wachawi hufanya kwa msaada wa roho za kuzimu.

Endapo mtu safi anafanya astral projection huwa ni kwa msaada wa roho mtakatifu na kwa lengo maalum la kimungu na huanzishwa na Mungu mwenyewe.

Kutoka nje ya mwili kwa initiative yako mwenyewe ni kutenda kosa kama wafanyavyo wachawi. Ni sawa na ushirikina kwani ukweli ni kwamba yeyote afanyaye astral projection hushirikiana na roho chafu.

Kawaida mwili uliobaki kitandani hubaki chini ya uangalizi wa pepo, yaani pepo huingia kwenye mwili uliobaki ili uendelee kuwa hai.
 
watu Wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

Ukweli ni kwamba ulimwengu wa kiroho anaweza kwenda MTU yeyote Na hakuna madhara yeyote labda kama unao ushahidi ulete Mkuu

Nimejifunza ukiwa astal body ni ngumu kupata madhara kuliko ukiwa physical body
Ndo maana bibilia inasema mwili ni dhaifu lakini roho hii radhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…