Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Fikiria kamba IPO juu ya Kutoka darini afu fikiria mkono wako wa kushoto unanyanyuka kushika kamba ili ujivute darini unatoka zako chapu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
najikuta nipo njia panda kuhusu haya yanayosemwa!! Maana najaribu ila nashindwa kabisa, ila natamani sana kuweza...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia application inaitwa binaural beat therapy afu sikiliza huku umefumba macho
Afu usijitahidi wewe relax kama autaki kutoka vile
Usichezeshe macho hofu inapungua Na utaanza kuelea mpaka unatoka kitandani kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ulimwengu wa kiroho mtu yeyote anaishi lakini katika levels mbalimbali na kwa utaratibu maalumu. Unapaswa kuwa mkweli kuhusu astral projection kwani ni wachache mno wamefanya astral projection, siyo kitu kidogo na siyo sawa na lucid dreaming.
 
My friend your perfectly wrong,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza usirudi una maana gani?
Yani astral projection unaweza ukafa?

Kwa uzoefu wangu mwili ni dhaifu lakini roho hii radhi,
Mtu akiwa astral sio rahisi kufa lakini ukiwa kawaida ni rahisi sana kufa
Real truth
 
Wachawi wanafanya sana astral projection kila siku hasa wakati wa usiku na hufanya hivyo kwa msaada ya roho chafu. Kitendo hiki kinahitaji msaada wa roho, ujue basi kama sio Roho Mtakatifu wa Mungu, ni roho chafu za kuzimu. Kama ni kwa Roho Mtakatifu ni kwa kusudio maalumu la Kimungu na hutafanya effort yoyote, itatokea automatically. Kuwa makini sana na forced astral projection ni hatari.
 
Mkuu mm ni mwanachuo je nikiwa kwenye hali ya AP naweza kujisomea na kuelewa zaidi??
Ndiyoo Inawezekana Saana Tuu Cha Msingii Ni Kukiweka Katika Mawazo Icho Kitu Unachotaka Kukisoma Mfano Nataka Kusoma Kitabu Cha Fools Die Cha Mario Puzzo Nitakua Nakiweka Katika Fikra Baada Ya Kudanganya Ubongo then Baada Ya Hapo utaweza Kusoma Either Utaona Page Moja Moja Inafunguka au Umekaa Umekishika Unakisoma .
 
Rakims
Wape Angalizo Pia Wale Wanaofanya Kwa Mawazo Machafu Wasije Baadae Kuingiwa Na Mapepo Hayo yakawatesa .

Muhimu Wakati Unafanya Ujue Unafanya Kwa lengo Lipi .....


Rakims Uje Ugusie Na Kitu Ya Doppelganger (Sijui kama Spelling Niko sahihi) na Automatic Astral Travel Inakuaje?
 
Hii doppel ganger huwa ipo japo kwa asilimia 50 na kuhusu Automatic astral travelling hii ipo na hufanywa na wale ambao ni wenye asili yao yaani psychic powers unaweza kutumia zile uliyozaliwa nazo na zingine ukatumia hata kama ni hujazaliwa nazo na unaweza kufanya kwa kujifunza hizi zote ni uwezo ambao kila mtu anao inategemea jinsi unavyoi trigger

Rakims
 
Mfano Kuna Mtu Nilisomaga Padre Pio Wa Italia Alikua na Uwezo Wa Kuonekana Mara Mbili Na Miili Yote Ikiwa Active Hasa Muda Wa Maombiii Hii Ni Nguvu Gani ....


Doppelganger Ina Uhusiano Wowote Kiroho??

Mfano Mtu mweny Uwez Wa Kufanya Automatic Astral Travel Yuko Road Akawaza Amesahau Simu Hom akasepa Sasa Si Hatar Itabaki Kwa Huu mwili Uliobaki ....
 
Kuna state za roho mtu akiweza kuzimudu vyema anakuwa anatoka na anajua hali hiyo ikitaka kutokea anakuwaje, pia anakuwa mara nyingi hawezi kufanya hivyo kwa sababu roho yake inakuwa kama kiungo cha ziada cha mwili wake ambacho kipo kwenye matendo ya hiari yake mwenyewe na pia kuhusu doppel ganger hii ni mapacha tu wasiokuwa kwenye mpangilio mkuu hawana kingine ila hata wewe ukitaka kumjua wa hivi ambaye ni mwenzio kwenye state za meditation ukiamsha kundalin power au ukifanya chant unaweza kumuona anaweza kuwa mtu au jini kama mtu ni bora ukamtafuta kama shetani ishia hapo.

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…