Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Imerudi tena, kwa style nyingine, mie ilinitokea tu nikiwa mdogo ila sikujua kama hili ni somo maalum, nilifanya sana mamabo haya
 
Nimekuelewa Mkuu ...
 
Imerudi tena, kwa style nyingine, mie ilinitokea tu nikiwa mdogo ila sikujua kama hili ni somo maalum, nilifanya sana mamabo haya
Share zako pia na wengine wathibitishe kuwa hii kitu siyo hadithi za mitaani

Rakims
 
Share zako pia na wengine wathibitishe kuwa hii kitu siyo hadithi za mitaani

Rakims
Baba Rakims niko tayari ku share ila kuna mzee mmoja wa ukoo wetu by far alinigundua tabia yangu tena kwa kuniangalia tu, akanionya mno tena kwa maapizo na matambiko ya kijiji ,sasa unajua utoto tena nikaacha. lkn ikawa inarudi tu. but after some time sikuona tena, sasa nikajiuliza ulikuwa utoto au ugonjwa ule?

Ila kusema kweli kusoma soma vitu kuna saidia sana wewe umeniamsha, japo its not too late, but I wish ningekutana na mtu kama wewe kitambo, I would have gone some where far by now.
Ilianza ghafla nikiwa mdogo nilikuwa nimekaa nje kwenye migomba peke yangu bwana weee! ikawa tabia, yaaani nilifika nchi ambazo sizijui, na watu wengine siwajui, nilionyeshwa Academic journey yangu na kweli niko mbali kuliko ndg zangu woote, nami ndo njilikuwa nawafungua macho kuhusu maisha japo ni mdogo na walinifuata kweli. nikawatabiria hasa kuhusu maisha yao Ile hali ilijenga chuki dhidi yangu

Tena nimesoma bure mpaka kiwango cha juu. hali iliyo mshangaza Baba yangu. Maisha yangu mke na familia yangu was predicted from that moment of magic power. However most recently am trying to revive it but all in vain, except I end up dreaming few dreams. ni mlolongo mrefu kwa kweli but let me end up here. still am gonna exercise till it work out.
 
Hongera mkuu kwa kujaliwa hii kitu automatic pia hadi hapo inatosha ulichoshea asante
 
Rakims ujaacha kuwafundisha watoto wako tu,ila hawa waoga wa majaribio sidhani kama wana uthubutu zaidi ya kudanganyana humu.
 
huwa napenda sana mtu anaefanya feedback maana husaidia hata wasiojua kujua nitaomba uwe unadondosha hapa sio p.m ili upunguze tongotongo za watu... na michanga vichwan usiogope ni safe way but watu wanaimagine kitu ambacho sijafundisha...
jiwe7456
Ni sawa km nafanya na silali peke yangu?
 
Ushauri wangu kwa wanaopenda astral projection rahisi ni kufanya asubuhi yani unatega alarm muda wa saa 8:30 usiku alafu unaamka kitandani yani ushuke kitandani kabisa ikiwezekana ufanye fanye hata vikazi ili mradi ubongo uchangamke zaidi ya nusu saa alafu rudi kitandani saa 9:00 pia muda huu ni salama maana hakuna majini wala wachawi ndo muda wao wakwenda kupumzika
Kidogo iwe kama lucidy dream
 
Mkuu! Hii kitu mimi inanitokea mara nyingi tu.....ila ua napigana kurudi katika hali yangu ya kawaida.....
 
Pole mkuu ndio ujifunze sasa kuitumia kwa vema

Rakims

Kiukweli hata siipendi hii hali....coz naonaga napoteza network kabisa....kuna kipindi niliwahi toka then nikageuka kuangali mwili....nilipo rudi.....nilijifunza kusali [emoji53]
 
Pole mkuu ndio ujifunze sasa kuitumia kwa vema

Rakims
Nimeangalia moja ya videos jamaa anasema km ndo unaanza kujifunza AP unwz kutana na spiritual beings zikakushambulia hasa kwny lower realm?na ni vizuri kuwa na spiritual guide?hapa kwny guide cjaelewa.
 
Kiukweli hata siipendi hii hali....coz naonaga napoteza network kabisa....kuna kipindi niliwahi toka then nikageuka kuangali mwili....nilipo rudi.....nilijifunza kusali [emoji53]
Ni nzuri hadi hapo kama ilikushawishi kuanza na kusali

Rakims
 
Nimeangalia moja ya videos jamaa anasema km ndo unaanza kujifunza AP unwz kutana na spiritual beings zikakushambulia hasa kwny lower realm?na ni vizuri kuwa na spiritual guide?hapa kwny guide cjaelewa.
Hapa kwa watu tunaoamini kwa mwenyezi Mungu huwa tunasali na kuomba ulinzi wa mwenyezi Mungu kwenye hilo lakini kwa watu wasio na imani ya Mungu wao huhitajika kujiamini zaidi yaani kuhigh vibration ili wasiweze kuwa kwenye low realm

Unasali baada ya separation?
 
8.30 - 9 pm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…