Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Lo amaa kweli !! Dunia imefika mwisho,yaani watu wanafundisha uchaw hadhran bila hata aibu

ebu nyinyi wachawi mtuondolee matunguri yenu
 
Habari yako mkuu.
Sorry naomba kuja inbox Kuna kitu nataka kukuuliza nje kidogo ya hii mada
 
je
hi ndgu imekaa je mbona wanatuogopesha wanasema kuna mambo ya kufa kufa hapo pamekaeje
 
Nakupenda,umenijengea ujasiri mkubwa sana .namba 21 picha ya chini yake nilihisi nafundishwa uchawi maana si kwa kupaa huko ndotoni.Embu ngoja nilale tena mimi...kumbee
 
Kuna wakati nilikuwa natoka mara kwa mara, sio kwa kupenda lakini. Nilikuwa kila nikilala baada ya muda najiona napaa na kwenda sehemu mbali mbali kama ndege. I
 
je

hi ndgu imekaa je mbona wanatuogopesha wanasema kuna mambo ya kufa kufa hapo pamekaeje
Hakuna kufa mkuu kama ni hivyo kila anaelala akitoka bila dhamira angekuwa anakufa. popote kwenye jambo la mafanikio vitisho lazima viwe vingi ili watu washindwe, wanaoweza wazidi kuwatawala
 
Kuna wakati nilikuwa natoka mara kwa mara, sio kwa kupenda lakini. Nilikuwa kila nikilala baada ya muda najiona napaa na kwenda sehemu mbali mbali kama ndege. I
Umejifunza na benefits zake, kwanini usifanye sasa kwa kujua na kujiamrisha
 
Iliiogopesha kwa sababu kua wakati mwigine nilikuwa napata shida wakati wa kurudi, na nikirudi nakaa kwa muda siwezi kufanya kitu chochote, nashindwa kunyanyuka, hata kukunja kidole, ingawa nasikia kila kitu kinachoendelea.
 
Aisee..
Si ndo mwanzo wa kupata stroke huo
 
Iliiogopesha kwa sababu kua wakati mwigine nilikuwa napata shida wakati wa kurudi, na nikirudi nakaa kwa muda siwezi kufanya kitu chochote, nashindwa kunyanyuka, hata kukunja kidole, ingawa nasikia kila kitu kinachoendelea.
Ukiwa umerudi hapo unakuwa upo kwenye paralysis it just a normal case mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…