Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Af nimeshawai kuhisi kama hivyo ucku wakati nikiwa nimelala Nilikua sielewi chochote kuhusu hili jambo kitu pekee nilichokua nazania ni kwamba Malaika mtoa roho ndy alikua anachkua uhai wangu (nakufa) Iseh Nilikua napiga sana maombi kimoyo moyo hiyo ganzi ilivyokua inaanzaga na kutembea kuanzia miguun kuja juu Nilikua naogpa sanaa Hali hiyo Nilikua Nikimuomba sana mungu Asinichukua kw wakati huo Nakumbk baada ya hali hiyo kutoweka nilikua ziwez kulala na nilikua nalia sanaa
 
Pole sana mkuu, lakini elewa the only time angel of death visit you in your life is only one time and there is no escape from that

Rakims
 
Pole sana mkuu, lakini elewa the only time angel of death visit you in your life is only one time and there is no escape from that

Rakims
Ahsante ila ni jambo nzito na kutisha sanaaa kikubwa na shukuru sana juu ya Elimu hii
 
Nashukuru pia mkuu kwa kuona faida ya nilichokiandika many people doesn't know it

Rakims
Mkuu Rakims kuhusu ile kitu ya njozi nilijarb nikafanikiwa kukutana na viongozi wawili na kama sio vibaya naweza kuitaja hii ndoto unitafsilie maana yake nini maake niliamka nikaiandika yote kama nilisahau basi ni vipengele vichache
 
Mkuu Rakims kuhusu ile kitu ya njozi nilijarb nikafanikiwa kukutana na viongozi wawili na kama sio vibaya naweza kuitaja hii ndoto unitafsilie maana yake nini maake niliamka nikaiandika yote kama nilisahau basi ni vipengele vichache
Ya njozi ipi mkuu nina thread nyingi humu!?
 
Hii hali kuna kipindi ilikuwa inanikuta najikuta mwili wote kama unapatwa ganzi nikiwa usingizini hasa alfajiri.

Nikajaribu tena siku moja asubuhi baada ya kusoma huu uzi kweli hali ya ganzi ilianza tena aaah wee 😀😀 nikaacha maana niliogopa.
 
Upuuzi mtupu.

Ukitulia kama hivyo unavyoelekeza kitakachotokea ni utasinzia tu.

"Astral Projection" pekee utakayoiona ni ndoto zako kama kawaida ya ukilala.

Kutoka nje ya uhai wako ni kitu kisichowezekana. Ndo maana hata kwenye ndoto zote ukiota unataka kufa lazima ushtuke usingizini. Kanuni haziruhusu kukuvusha ulimwengu wa pili kwa maono tu. Ukivuka ni umevuka kimoja.

Sema hii ni elimu nzuri kwa kutapelia watu. Maana binadamu wana shauku sana ya kutaka superpowers na kuona kesho ikoje.
 
SoMo hili Ni la hatua kwa hatua.kama ushauri ulivyotolewa hapo.swali wanasema hii Ni hatua za mwanzo za uchawi .
 
Natumaini leo tutakutana wengi kitaa hivyo tutapiga storry sana au sio wazee wakupaa
 
Aise, kuna watu wanakipaji cha kupinga matarajio ya Mungu kwa binadamu?
Harafu binadamu kama P anapinga. Kipaji cha mtu mmoja si cha kila mmoja. Kama wewe huna hicho kipaji kaa kimya, si kupinga pinga kila kitu.
PASCAL HESHIMU, mawazo na vipaji vingine kwa liojariwa.
Unamsifia yule pale magogoni, ni kipaji chako kufanya afanyavyo, hivyo usiwe mpigaji kwakuwa tu huna hicho kipaji.

Kwani utapata malaria ukikaa tu kimya sometimes..
 
Kuna uchawi wa aina mbili (au zaidi), kuna white witch na dark witch, dark witch ndio hip ya matunguli hirizi n.k, white witch ndio hio inayofundishwa na akina Rakhim.

Ukweli ni kuwa huu ni uchawi, mwili bila roho umekufa, kinachofanya roho itoke na mwili ubaki hai ni pepo linaloingia ndani ya ule mwili ili kuufanya hai, na roho yako itazurura kwa msaada wa mapepo ambayo huyaoni, ( Rakhim anasema ni malaika walinzi wawili unaoona vivuli vyao!!!)

Mwisho wa Siku utalazimika kwenda kusujudu kwa Mkuu wa wachawi, malkia wa mapango, Mwenye pembe mbili kama mbuzi, Utalazimika kumkufuru Mungu na kudanganywa kua ukifa utaendelea kuelea hivo hivo au utaenda ujinini!!! UWONGO MTUPU

Shetani atakuficha hutaona kuzimu ya kweli ya waliokufa na dhambi na mateso wanayopata, atakupeleka kuzimu ya wachawi (ujinini) kwenye maghorofa na starehe kumbe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…