Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Eti pepo anakufanya huwe hai. Ivi muandishi sizani kama unajua ulicho andika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti pepo anakufanya huwe hai. Ivi muandishi sizani kama unajua ulicho andika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lugha ipi nzuri kwako pepo au jini? Unajua wanaochukuliwa misukule roho zao zinachukuliwa mda mrefu kabla ya kifo cha "kutengenezwa", nini kinafanya miili iwe hai wakati roho imechukuliwa?...jini (pepo), umewahi kusikia habari za kuchukuliwa kivuli? Ulidhani ni shadow...pole
 
Mkuu it normal kwa watu wasiokuwa na elimu na kitu kusema kama hayo unayosema
 
Hapana mkuu endelea kutafuta elimu utajua ninachozungumzia hapa
 
Ujue mwil na roho mpaka ziachane completely ni lazima spiritual golden rop ikatwe au iachane ungekuwa mwil umekufa, Ata ufanye dawa gani hawez rudi lakin kama iyo rop haijaachana anaweza kurudi. Je ujawahi sikia flan msukule umemshidwa au mtu kakohoa na kuwa mzima wakati doctor wako alisibitisha amekufa. Kurudi kuna mazingira yake labda marehem sadikika aliwekewa kinga. Au individual ability kama gift alio zaliwa nayo maaana kuna watu hawalogeki na hana kinga ya mahalifa ya mtu, na hajaokoka kwa ndugu zangu wakristo, pia pitia na enock
 
Kwa yeyote atakaefanya safari hiyo atueleze kama ni ukweli, bado siamini, na nahisi kama hao walio +ve wanajuana.
 
Nadhani hiyo itasaidia kwa wasioelewa vizuri astra projection.. na wakiamini kuwa mtu unakufa au roho inatengana na mwili NOO.. SIYO UKWELI..
 

Attachments

  • The Dangers of Astral Projection - Exemplore.mp4
    18 MB
Nazidi kupata Darasa.......Kuna siku nilikuwa kwenye shughuli ya kifamilia na baada ya pilika nyingi watu wengi walilala ikafika mida ya Maakuli ikabidi tuwaamushe waliolala kwa kuwatikisa Mzee mmoja akagomba eti tusiwaamshe kwa njia hiyo na baadala yake Tuwaamshe kwa Kuwangonga gonga KIDOLE GUMBA cha miguuni.......!!! Sikujua maana Yake...... Sasa nimeelewa....

Rakims endelea Mkuu..........
 
Mimi sleep paralysis hunitokea, yaani mwili unakufa ganzi ila nakua alert na kuskia kila kinachotendeka karibu yangu, mwanzoni nilikua naogopa sana, nilikua nadhani ni majini yamenigandisha.
Lakini siku hizi huwa natulia na kusklizia tu hadi raha.
 
Nilijaribu kutoka nje ya mwili ilinipa shida sana,siku hiyo ilikua alufajiri kama saa 11 hivi nikaamka nikabafu nikajifuta maji kama kawaida,nikajilaxa kwa utulivu nikaachia mwili nikaulegeza nikavuta hisiakali,theni nikahisi mwili unakakamaa kabisa dheni nikajikuta natoka kitandani nakaa pembeni halafu nauna mwili umejilaza ghafla najikuta najikuta natetemeka kwenye njozi kubwa.sijui ilikuaje lakini haifai kufanya hivyo.nilijikuta namuna mama yangu alie fariki miaka mingi iliyo pita nikaongea nae then akatoweka,ghafla nazinduka najikuta machozi yanatoka tena kwa hisia kali.nainuka naenda bafuni kuoga wakati naogo bado hisia zinakuja namaswali mengi najiuliza ivi kimetokea nini vile?sirudii tena
 
Nahiyo Id photo yako unaogopa Nini Sasa ila pole sana rudia Tena ndugu uje utupe hadithi nyengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…