Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Yes but if you want tafuta vitabu na tutorials videos kwanza.
Hujue side effects , procedures then ndo ufanye
Unakosea je kaka , mimi kwa ninavyoona kosa la kukuuwa nikuamshwa mwili ilihali roho ipo Kinshasa mwili Bongo tofauti na hapo hakuna kufa ni full kwenda kupiga watu machaboo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hapana aisee unaweza ukafika huko ulimwengu wa roho ukakuta watu wako bize kwenye shughuli wanasasambua ukashangaa ukasahau ulipo ukapitiliza bure na usirudi tena
 
Hii hali nahisi ata mitume walikuwa wakipractise nakumbuka kuna kisa kimoja ktk mafundsho ytu ya kiislamu mtume wetu Mohammad rehma na aman ziwe juu yke, alisafir usiku mmoja kwenda ktk arshi(mbinguni) ya Mwenyez Mungu alipitia vituo vingi na kushuhudia mengi apa dunia adi uko mbingu na uko ndipo alipo pewa hzi swala tano.
Na kesho yake aliwasimulia maswahaba zake bila shaka walimuamini kwasabbu aliwatajia maeneo ambayo hakuwa kufka apa dunia na waliofika wakakili ni kweli anachozungumza.


Ni kisa kirefu kidogo nimejaribu kufikiria na haya mafundsho nahisi ata mitume walikuwa wanatumia.
 
Nimejaribu nkaona kweli roho inaacha mwili.. Nkarudi fasta maana nilikuwa natest mitambo tu.

Kabla ya root yng ya kwenda US kiroho, kuna jambo napenda kulijua. Jeh kwenye ulimwengu huu 'kula tunda kimasihara inawezekana mkuu'

Rakims
 
hauwezi kufa kweli? Unaweza ukaona nini na je unaweza kumbuka
Mkuu umenichekesha sana.
Mimi nilitaka kuuliza, vipi mtoa mada hawezi kutegesha hata simu mahali, ili tupate picha za mtu halisi aliyeenda nje ya mwili wake? hiyo itatusaidia zaidi ili tusione maelezo yake ni ya kufikirika tu.
 
Inawezekana lakini ikiwa una low vibration unaweza ukala tunda la low entities ambao hawatakuachia zaidi ya mikosi nuksi balaa na majanga,

Rakims
Nimejaribu nkaona kweli roho inaacha mwili.. Nkarudi fasta maana nilikuwa natest mitambo tu.

Kabla ya root yng ya kwenda US kiroho, kuna jambo napenda kulijua. Jeh kwenye ulimwengu huu 'kula tunda kimasihara inawezekana mkuu'

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio dunia hii hii mkuu ila katika hali ya kiroho, hakuna jipya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kufanya meditation kuna hali fulani huwa inanifikia sio mara nyingi lkn,huwa nahisi Kuanzia katikati ya kichwa mpk nyuma kama hali fulani like something is passing in my head mpk kwenye shingo hadi mgongoni hufika hatua hadi huwa nasisimka what is this....???
 
Mkuu.. asante kwa knowldge nzur na muhimu sana, japokua napata shida kidogo kwny hili.. bado naendelea kupractice. Nilikua naomba kama utakua na mda, utufafanulie namba ya kutoka nje ya mwl kwa kutumia hyo njia ya pili (kwa msaada wa mlio)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…