Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Kama hujaizoea hii kitu inatisha aisee, majuzi mi nilifanikiwa kuingia kwenye astra plane ila nilihisi kama kuna kiumbe mle chumbani tofauti na mimi nikajikuta najikurupusha kwa lazima. Inapaswa uwe na ujasiri kwakweli
 
Mkuu una Muda gan toka uanze kupractice meditation?

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
 
Hapana mkuu.
Meditation inanitosha na sitoenda zaidi ya hapo.
Toka nimeanza meditation kuna faida nyingi sana nimeziona
Thanks mkuu Pascal na wadau wengine

Kama faida gani na meditation ipi ambayo hufanya wewe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hizo ni low entities zinakuwa zinakuzengea au unakuwa chini ya spell ya kichawi ndio unaweza kujiskia hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujaizoea hii kitu inatisha aisee, majuzi mi nilifanikiwa kuingia kwenye astra plane ila nilihisi kama kuna kiumbe mle chumbani tofauti na mimi nikajikuta najikurupusha kwa lazima. Inapaswa uwe na ujasiri kwakweli
Ukijitajidi kuinua mitetemo yako basi hicho kiumbe hupotea lakini pia wengine hukitumia kama mwenyeji wa upande huo lakini most of them vinavyokuwa kwenye shadow shapes ni nafsi za low dimension

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naomba nikuulize wewe mtoa mada mi mara moja moja huwa naota napaa sometyme hunitokea hata mara moja kwa mwezi.hii ni nini hasa ni ulozi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…