Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mkuu Rakims, Naomba unisaidie hapa- (a).Astra projection na na Kundalin ni vitu viwili tofauti au ni kitu kilekile kimoja?

(b).Kundalini mazoezi yake yako tofauti na ya Astral projection au mtu akifaulu Astral projection atakua kaunganisha humo humo na kundalini?, Nimesoma sifa zake zinafanana sana.
Msaada mkuu Rakims
 
Hapana mkuu Kundalini na astral projection ni vitu viwili tofauti hata kama vinafanana faida

Rakims
 
Imentokea ucku wa kuamkia jana mishale yale ya saa kumi iv.. Kabla cjalala nlpanga mida hiyo niamke ili nwexe kukamilisha baadhi ya mambo kabla hakuja kucha

Wakat npo usingixini nlisikia mwili kama unavibrate na uo mtetwmeko naweza kufananisha kama ule mtetemeko wa mguu au mkono ukiwa umeshika ganx kwa mbali nkajiulixa hii nini? hofu ikananishika kufuatana na iman yangu nkaanxa kutumia ule mfumo kukemea kemea sana nkijua mchaw anafanya yake ila kadri navo kemea naona ile hali ya mtetemeko wa mwili inazid kuwa kubwa na mwili unaxd kuwa mxto
Mtetemeko huo uliambatana na tumaumivu co tumaumivu maeneo ya kiuno cwex kuielexea hiyo hal

Nataka kuamka nashindwa hofu ikaendelea kuni jaa ndipo nkakumbuka kwamba hii ndio hali nliyokuwa naitaman intokee ili niwexe kutoka nje ya mwili ikanibid ni relax kwa kutumia ile trick ya breath in breath out
Baada ya kuvuta pumx mbili tatu kdogo hofu ikapungua na kuwa aware na maxngira ndipo nkasema ngoja nijalibu kuamka
nkajiona kama nmefumbua macho wakat najua nmefumba macho, hali iyo ili nichanganya na kushindwa kuelewa wap nilpo fumbua macho ni kwenye mwili au kwenye iyo roho ,
kahofu kakaanza kuja kwa kasi tena wakat uo bado nausikia mwili una vbrate na ni mxto na tuhali flan iv twa tumaumiv kwenye kiuno bado tunaendelea iyo hali nayo ilkuwa inantisha

Ok nkasema ngoja nijinyenyue nkajiona kabisa kichwa kinanyenyuka kutoka kwenye kichwa cha mwili mmmnh nkaogopa bandugu.. Nkaludi nkaanxa process xa kujiamsha kwa ile trick ya kuanxa kutikisa vdole vya mkono ad nkafanikiwa kuvitikisa kisha ndo nka fumbua macho

Saiv bnafsi naamin inawexekene na nasubiria intokee tena . Saiv ntajkaxa atlis nkae ktako nusu iyo roho iko nje nusu iko kwenye mwili ksha najrudsha najiamsha sitak mbwembwe kabsaa nsije nkadanji buree hahahaa
 
Usiogope mkuu, kuna usemi wa waswahili unasema uoga wako ndio umasikini wako

Rakims
 
Kwahiyo hii inaniwezesha hata kwenda huko mombay au naishia tu mazingira ya karibu?
 
Bado nakupenda mama..😅


Sina pesa na nataka niende zangu Califonia sasa nitafanyaje! Wewe nikikuambia unitoe hata out hapo Eldoret unanizungusha tu😎.

Nataka nianze mazoezi baada ya miezi miwili nitakuwa nashinda zangu Minnesota bongo pamenichosha🤩
 
Sina pesa na nataka niende zangu Califonia sasa nitafanyaje! Wewe nikikuambia unitoe hata out hapo Eldoret unanizungusha tu😎.

Nataka nianze mazoezi baada ya miezi miwili nitakuwa nashinda zangu Minnesota bongo pamenichosha🤩
Sawa tu kwakuwa umezamiria kuniacha pekee nenda Ila yakikushinda...😅
 
Hata
fanya zoezi hilo utatoka bila hata tatizo wala hamna tatizo... kuna watu akiamka anakuta mwili unaganzi wengine wanaweweseka hawajui hapo waweza kupata mambo mazuri....

@-----
Hatari japo burudan
 
Ukitoka nje ya mwili unaweza kwenda kwenye duka la mangi ukachukua hela bila kuonekana!?
 
Jf wanatumia vigezo gani kutoa credit kwa members, hii nyuzi ina miaka mingi bado inatrend kwanini wengine ni verified na rakims bado ni expert member ikiwa uzi wake uko tangu mtoto kuzaliwa adi Yuko shule ya msingi na uzi bado uko on fire 🔥🔥 🔥
Kuweni fare mods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…