Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Hiyo safari jumla ndo naitamani sasa
 
Kama kwenye ndoto kuna maisha mazuri,si bora niende mazima.. niachane na hizi stress za ulimwengu na walimwengu
 
Kama kwenye ndoto kuna maisha mazuri,si bora niende mazima.. niachane na hizi stress za ulimwengu na walimwengu
Kwenda mazima huko ni amri ya mwenyezi Mungu, hakuna kwenda mazima mkuu,
Watu wanaquote kulingana na walivyosoma na sio walivyoexperience

Rakims
 
Kwenda mazima huko ni amri ya mwenyezi Mungu, hakuna kwenda mazima mkuu,
Watu wanaquote kulingana na walivyosoma na sio walivyoexperience

Rakims
Habari mkuu Rakims.
Mimi kulingana na nilivyosoma thread zako kadhaa ninakiu Sana ya kuiponya familia yangu kwa nguvu ya miujiza kutokana matatizo na changamoto tunayopitia, matatizo kwenye familia hayaishi magonjwa ya ya nguvu za giza na changamoto nyingine nyingi tu. Kutokana na kupitia nyuzi kadhaa kwenye mitandao nimesoma habari ya KUNDALINI & THIRD EYE, na ASTRAL PROJECTION
Kati ya Astra projection na kuamsha nguvu ya kundalini ni ipi niifate kuifanyia mazoezi ambayo itaniletea matokeo chanya ambayo ndio zaidi kuliko nyingine katika nguvu ya uponyaji na kupambana na nguvu za kichawi kwa mtu aliyerogwa?
 
Meditation is the best mkuu maana unacombine vyote hivyo na vinakuwa highest level za meditation ukifanya sana meditation unapokuwa enlighten basi kila unachofanya kinakuwa useful na kinakwenda unavyotaka

Rakims
 
Nimefanikiwa kuingia ndan ya lucid dreams.lakin mikono yangu kuna sehemu nikijaribu kwenda naona imefungwa na nikitaka kuingia iyo sehemu nakua siwez.ni sehem ya bibi mmoja mchawi hivi.nataka nikapambane nae.hii mara ya tatu kila nikitaka kumfanyia timbwil inashindikana
 
hahahaa safi sana ila kuwa makini, kwa maelezo yako unaonekana bado mwanafunzi kuwa makini usije pata shida
 
hahahaa safi sana ila kuwa makini, kwa maelezo yako unaonekana bado mwanafunzi kuwa makini usije pata shida
Ila kuna kitu nakiogopa.nisije nikabakia huko huko.ndio maana nikiingia katika hali hyo huwa nakaa kidogo afu najaribu kujirudisha katika hali ya kawaida maana nahofia isije ikawa sirud dunian mazima.
 
Dah leo ilikuwa bado kidogo nitoke nje ya mwili tatizo kila nikitaka kutoka inashindikana tatizo nilikuwa nalijua kabisa ni jinsi nilivyo lala, nililala kifudifudi ss nikawa najitahidi nigeuka nilale chali nashindwa lkn pia nilikuwa naogopa ncje nikajistua kwahyo nikawa najigeuza taratibu ili nisistuke cz nilikuwa najua hyo ni astral projection mwili tayari ulikuwa na ganzi na kuna mlio flani hv nlikuwa nausikia kichwani but nkitaka kutoka kwenye mwili wangu nashindwa daahh nlikuwa nakasirika sn huenda ni shauku nliyokuwa nayo, huu uzi umenistua sn mana zamani nlikuwa siipendi na naiogopa sn hii hali ilikuwa ikitaka kunitokea tu najistua but kuna siku nilijikausha nikataka kupaa kidogo nikaogopa lkn now naitafuta hiyo hali mpk kieleweke ili niwajue wanga wangu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kazana mkuu kumbuka kuna lucid dream na AP ni vitu vinafanana kwa mbali sana sasa usije kugeuzwa jinsia na kibibi

Rakims
 
Ila kuna kitu nakiogopa.nisije nikabakia huko huko.ndio maana nikiingia katika hali hyo huwa nakaa kidogo afu najaribu kujirudisha katika hali ya kawaida maana nahofia isije ikawa sirud dunian mazima.
Lisaa moja la huko ni sawa na siku nzima au mbili no matter what you do itafikia tu sehemu utataka kurudi na ukirudi unakuta ni kitendo cha lisaa au masaa mawili ndio maana wenye kufanya zoezi hili kuna sifa za kuwa bright sana

Mkuu Rakims kwenye Meditation inachukua muda mwingi/ siku nyingi hadi mtu kufungua third eye na power, Je na kwenye Astral projection ni hivyo hivyo au mtu akifanikiwa kutoka nje ya mwili kwa siku moja tu tayari atakuwa amesha fungua uwezo wake na nguvu zake za majaaliwa? Au akifanikiwa kutoka leo nje ya mwili wake itakuwa bado haja fungua mpaka aendelee kwa kipindi kirefu?
 
Habari mkuu, elewa au kumbuka kuwa na kutoka nje ya mwili pia ni moja kati ya nguvu za majaliwa isipokuwa hii ni rahisi na yoyote anaweza kufanya.

Rakims
 
Habari mkuu, elewa au kumbuka kuwa na kutoka nje ya mwili pia ni moja kati ya nguvu za majaliwa isipokuwa hii ni rahisi na yoyote anaweza kufanya.

Rakims
Habari Mkuu Rakims naomba kuuliza maswali mawili nimeyasikia yananiletea utata kidogo.
1.) Je, Ni kweli mtu akitoka Nje ya mwili inaweza ikatokea bahati mbaya pepo au roho nyingine inaweza ikaingia kwenye mwili wake aliouacha kiasi kwamba ikamletea ugumu yeye kurudi ndani ya mwili wake?

2.) Je, Mtu akitoka Nje ya mwili kwa msaada wa binaural beats, Ile beat itaendelea kutoa sauti kwa mwili uliobaki haiwezi kuushtua mwili wake na kusababisha mwili kushtuka Hari yakua roho haipo maana tunasikia kuwa mwili ukishtuliwa ni hatari.

Msaada wako Mkuu
 
Daaah mambo mengine siwezi Fanya aseee..!!Paskali Mayalla kanitisha
 
Nilikuwa sijaipitia hii. Dah!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi vitu mimi bado siamin kama ni real, afu braza umeandika kama una uzoefu hiv, ulishawahi kufanya tujuzane.
 
Nzuri sana ..but fanya kwa umakini, niliwahi kukutana na roho za watu zinazozagaa usipokua makini unaweza usirudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…