Kapyepye Mfyambuzi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 542
- 921
Dah![emoji134][emoji134]Nzuri sana ..but fanya kwa umakini, niliwahi kukutana na roho za watu zinazozagaa usipokua makini unaweza usirudi
Kweli kabisa ulijiproject ukaenda underworld. Siaminig mi nadhani wachawi tu wanafanyaga hizo mamboNzuri sana ..but fanya kwa umakini, niliwahi kukutana na roho za watu zinazozagaa usipokua makini unaweza usirudi
Mara nyingi hua wanataka kukimbilia kwenye mwili wako ku take over pia kama ulivyosema wengine wanakutaka ubaki nao wengine wanataka kukuambia uwasaidie mission zao uncomplishedDah![emoji134][emoji134]
Hebu tupe uzoefu wako kidogo, hizo roho za watu zinakung'ang'ania au inakua kuaje hadi ushindwe kurudi?
Zinakuwa katika umbo gani mkuu? Zinaongea kabisa au ni kama connection fulani ya kitelepathy?Mara nyingi hua wanataka kukimbilia kwenye mwili wako ku take over pia kama ulivyosema wengine wanakutaka ubaki nao wengine wanataka kukuambia uwasaidie mission zao uncomplished
its scary but lazima uwe na roho ya ujasiri
Sawa, samahani kwa udadis wangu Mkuu ndo najifunza zaidi.Mara nyingi hua wanataka kukimbilia kwenye mwili wako ku take over pia kama ulivyosema wengine wanakutaka ubaki nao wengine wanataka kukuambia uwasaidie mission zao uncomplished
its scary but lazima uwe na roho ya ujasiri
mkuu, maelezo kuhusi hili jambo ni marefu na nimesha experience vitu vingi, pia hakuna kitu kama silver cold...ni silver cord ambayo kwa lugha rahisi ni kama connector kati ya soul na physical bodyBillions Akisha_take over kwenye huo mwili wako Ni nini kinatokea, anaamka na huo mwili au inakuaje? kwa maana silver cold unakuwa bado imekuunganisha na mwili wako tunavyosikia, ukirudi mnapigana au yeye anakuwa ananguvu zaidi?
Lisaa moja la huko ni sawa na siku nzima au mbili no matter what you do itafikia tu sehemu utataka kurudi na ukirudi unakuta ni kitendo cha lisaa au masaa mawili ndio maana wenye kufanya zoezi hili kuna sifa za kuwa bright sana
Rakims
Mimi nilishawahi muuliza mwalimu Rakims akanijibu kuwa asilimia kubwa Kama yeye Alisoma tu na kufanya zoezi hakuwa na mwangalizi. Kwakweli Mimi ninachohofia ni kule ninavyosikia kurudi kwenye mwili wako Ni kwa hassle kweli kweli, Sasa Maisha yetu haya ya uswahilini unamaliza siku nzima haujafungua mlango si wanavunja mlango, unazinduka umo kwenye sanda wanamalizia kusalia jeneza. Labda mwalimu Rakims atuambie huwa inachukua muda gani mtu kurudi kwenye mwili wake?Sasa mkuu kwa staili hiyo si unaweza kuta wamatumbi washakuzika na wamekusahau
Au inabidi ufanye hayo chini ya ungalizi maalum maana usije ukaamkia kaburini
Ahahaha Daaah MkuuMimi nilishawahi muuliza mwalimu Rakims akanijibu kuwa asilimia kubwa Kama yeye Alisoma tu na kufanya zoezi hakuwa na mwangalizi. Kwakweli Mimi ninachohofia ni kule ninavyosikia kurudi kwenye mwili wako Ni kwa hassle kweli kweli, Sasa Maisha yetu haya ya uswahilini unamaliza siku nzima haujafungua mlango si wanavunja mlango, unazinduka umo kwenye sanda wanamalizia kusalia jeneza. Labda mwalimu Rakims atuambie huwa inachukua muda gani mtu kurudi kwenye mwili wake?
aaah pepo hawez ingia kwenye mwili wa meditator kwa sababu ya silver cord pia vibration ya meditator ina kuwa ni kubwa sanaaa spiritual pulse zipo high sanaa. kiufupi hakuna wa kuku gusa sema utajitesa mwenyewe tu ukiwa mwoga na hauko specific coz apo utakacho kiwaza ndicho utakacho kiona unacho kiogopa sana ndicho utakikikuta ila vyote ni kama illusion tu usipo jua hiv mapema ukuenda huko kichwani huna maelekezo ya kitaalam utakiona cha moto. hakika na wambia meditation ukikaribia stage ya kutoka njee ya mwili utaanza kujiogopa mwenyewe unaweza ukawa unawoga lakin hujui unaogopa nn patam apoKwakweli ukiweza hili zoezi faida zake ni nyingi sana unaweza kujiita nabii, sema Sasa haijulikani ukienda utachukua muda gani kurudi, kibaya zaidi nimesikia kuwa ikitokea roho au pepo akikutaimu akaingia kwenye mwili wako wakati wewe umetoka imekula kwako. Tunaomba na hii mkuu Rakims aje atutoe hofu wanafunzi wake atuambie ni nini Cha kufanya endapo mwili utaingiwa na roho au pepo wakati mtu yupo Nje ya mwili wake.
[emoji1][emoji1][emoji1]Mimi nilishawahi muuliza mwalimu Rakims akanijibu kuwa asilimia kubwa Kama yeye Alisoma tu na kufanya zoezi hakuwa na mwangalizi. Kwakweli Mimi ninachohofia ni kule ninavyosikia kurudi kwenye mwili wako Ni kwa hassle kweli kweli, Sasa Maisha yetu haya ya uswahilini unamaliza siku nzima haujafungua mlango si wanavunja mlango, unazinduka umo kwenye sanda wanamalizia kusalia jeneza. Labda mwalimu Rakims atuambie huwa inachukua muda gani mtu kurudi kwenye mwili wake?
Mkuu faida zake ni kuwa unaweza kujitabiria nini ufanye ili utoboe kimaisha?na mambo mengi yajayo waweza jitabiria?Kwakweli ukiweza hili zoezi faida zake ni nyingi sana unaweza kujiita nabii, sema Sasa haijulikani ukienda utachukua muda gani kurudi, kibaya zaidi nimesikia kuwa ikitokea roho au pepo akikutaimu akaingia kwenye mwili wako wakati wewe umetoka imekula kwako. Tunaomba na hii mkuu Rakims aje atutoe hofu wanafunzi wake atuambie ni nini Cha kufanya endapo mwili utaingiwa na roho au pepo wakati mtu yupo Nje ya mwili wake.
ndio mana tunaambiwa tulinde silver chird zetu kwa gharama yoyote, japo chances za wao kuingia ni ndogo sana ila wanaweza ukiwaruhusu...by the way ni nice experience...nimeshafika hadi egypy kwenye pyramids..kifupi unaweza fika mahali popote pale, nimefika sehemu nyingi sana, ila siku moja nitakuja kuweka thread yaliyonikuta nilienda sehem ambayo sikutakiwa niende as a soul ..hii dunia ina mambo mengi sana..aaah pepo hawez ingia kwenye mwili wa meditator kwa sababu ya silver cord pia vibration ya meditator ina kuwa ni kubwa sanaaa spiritual pulse zipo high sanaa. kiufupi hakuna wa kuku gusa sema utajitesa mwenyewe tu ukiwa mwoga na hauko specific coz apo utakacho kiwaza ndicho utakacho kiona unacho kiogopa sana ndicho utakikikuta ila vyote ni kama illusion tu usipo jua hiv mapema ukuenda huko kichwani huna maelekezo ya kitaalam utakiona cha moto. hakika na wambia meditation ukikaribia stage ya kutoka njee ya mwili utaanza kujiogopa mwenyewe unaweza ukawa unawoga lakin hujui unaogopa nn patam apo
Ni hayo na zaidi ya hayo mkuu, hata uponyaji pia nilivyofuatilia hii kitu kwenye website mbalimbali na kwenye youtube. Lakini Mimi ninachoogopa nasikia kutoka sio shida kurudi sasa, jasho la ulimi litakutokaMkuu faida zake ni kuwa unaweza kujitabiria nini ufanye ili utoboe kimaisha?na mambo mengi yajayo waweza jitabiria?
Umenipa attention nyingine ya kuogapa zaidi. Hebu lete mkuu na sisi tujifunze, Nimepania kuifanya lakini nataka nije niifanye nimeshajua tahadhari zakendio mana tunaambiwa tulinde silver chird zetu kwa gharama yoyote, japo chances za wao kuingia ni ndogo sana ila wanaweza ukiwaruhusu...by the way ni nice experience...nimeshafika hadi egypy kwenye pyramids..kifupi unaweza fika mahali popote pale, nimefika sehemu nyingi sana, ila siku moja nitakuja kuweka thread yaliyonikuta nilienda sehem ambayo sikutakiwa niende as a soul ..hii dunia ina mambo mengi sana..
HAIL LUCIFER !!!
Hiyo silver cord tunailindaje mkuu tusaidie,ndio mana tunaambiwa tulinde silver chird zetu kwa gharama yoyote, japo chances za wao kuingia ni ndogo sana ila wanaweza ukiwaruhusu...by the way ni nice experience...nimeshafika hadi egypy kwenye pyramids..kifupi unaweza fika mahali popote pale, nimefika sehemu nyingi sana, ila siku moja nitakuja kuweka thread yaliyonikuta nilienda sehem ambayo sikutakiwa niende as a soul ..hii dunia ina mambo mengi sana..
HAIL LUCIFER !!!
Sio lucifer tu ni michael big brotherndio mana tunaambiwa tulinde silver chird zetu kwa gharama yoyote, japo chances za wao kuingia ni ndogo sana ila wanaweza ukiwaruhusu...by the way ni nice experience...nimeshafika hadi egypy kwenye pyramids..kifupi unaweza fika mahali popote pale, nimefika sehemu nyingi sana, ila siku moja nitakuja kuweka thread yaliyonikuta nilienda sehem ambayo sikutakiwa niende as a soul ..hii dunia ina mambo mengi sana..
HAIL LUCIFER !!!