Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

ww umetumia beat kuweza kufanikisha zoezi la kutoka
Ndio Kwanza Raha ya kutumia beats hauhisi au kuweka mawazo ya kuichunguza process wakati wa kutoka ambavyo wengi huwa inawasababishia hofu, wewe focus yako tu iwe kwenye beats utajishangaa vibrations imeongezeka na unaanza kujiona unaanza kuelea juu
 
Kama ulienda umelala chali halafu mtu akaja akakugeuza mfano kiubavu eti hauwezi tena kurudi kwenye mwili wako?
Unarudi vizuri tu na hadi mtu akaribie kukugusa utaona vibration inazidi kwenye silver cord mkuu

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaweza kunielezea maana hasa ya kuwa spiritual enlightened?? Nini hasa maana yake?? Kuna ishara zimenitokea ambazo inaonesha nipo katika hatua hiyo.

Pia nilifanikiwa kufanya AP. But now since nimeacha Meditation imekuwa ngumu sana.
Kuwa enlightened ni kufanikiwa kile ulichokuwa unakitafuta mkuu kama ni kuongeza nguvu za miujiza au kuongeza hekima au kuelewa dunia kwa upana yaani kuwa enlightened ni kama kwamba mtu alikuwa gizani kiroho sasa kaingia kwenye mwanga ina maana pana isipokuwa kuna baadhi ya societies zinazofundisha hapa Dar wanadai humfikisha mtu kuwa enlightened lakini ukisikiliza wanachosema ni upuuzi fulani fulani maana hata anaewafundisha hajawahi kuwa enlightened

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Shauri zuri mkuu lakini usipotoshe watu

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naomba nitajie iyo beats nitumie kutoka njee ya mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…