Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

HIYO SIO ASTRAL PROJECTION
 
Unawezaje kutengana na mwili Kwanza?[emoji849]mbona mm sijaelewa
 
Mkuu rakims mbona mimi nikifika kwenye ganzi naishia kwenda ndotoni tu nifanyaje nikifika stage hiyo msaada tafadhali
 
Wewe ulishawahi kufanya hivyo mara ngapi??.
 
Mkuu rakims nafika mpaka kwenye vibration lakini nashindwa kujitenga na mwili wangu nakosea wapi msaada tafadhali
 
Mkuu rakims nafika mpaka kwenye vibration lakini nashindwa kujitenga na mwili wangu nakosea wapi msaada tafadhali
Endelea mkuu hadi ufanikishe usiishie njiani

Rakims
 
Mkuu rakims nafika mpaka kwenye vibration lakini nashindwa kujitenga na mwili wangu nakosea wapi msaada tafadhali
Ushauri. (Kama itakupendeza). Fungua Kwanza Third eye, hiyo astral travel itakuwa ni kama kufumba na kufumbua tu, na faida zingine nyingi utazipata, wala hauto hangaika kama unavyohangaika sasa ku-archive hiyo high stage
 
Mkuu Kapyepye Mfyambuzi inachukua siku ngapi ku active third eye

Na je umefanikisha kutoka nje ya mwili
 
Kusafiri nje ya mwili Ni Muhimu .

Nimuhimu zaidi kujijua wewe Ni Nani na Huu ndio uthibitisho Tosha kwamba Binaadamu tunapambana tutaendelea kuishi daima na daima tunakufa pale miili yetu inaposhindwa kuhimili changamoto za Dunia lakini baadae huwa tunarudi tena kuishi katika maisha ya Macho mawili tukiwa katika miili mingine
 
Mkuu ume experience huu uwezo nn mbona unajib kama kawaida yako iv
 
Dah mimi nilishashidwa kabisa toka 2015 nafuatilia huu uzi inanishinda naishia kwenye ganzi na sauti za ajabu sana naamka kudadeki sijui lini nitachomoka.
 
INAWEZEKANA
 
Dah mimi nilishashidwa kabisa toka 2015 nafuatilia huu uzi inanishinda naishia kwenye ganzi na sauti za ajabu sana naamka kudadeki sijui lini nitachomoka.
That's fear.. Unatakiwa kujua hakuna chochote kinachoweza kukupata, hata uone kama kuna viumbe vinataka kukushika tambua kwamba that's not real. Ukivuka hiyo stage na kujikuta umeweza kuona through your eyelids jua kwamba the adventure has just begun.
Ikitokea hii njia iliyoshauriwa kwenye huu uzi imekushinda unaweza ukafanya forced projection, though unaweza ukawa shocked for the first time ila after some time you'll get used to.. na ni njia salama pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…