SoC02 Jinsi ya kutokomeza maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kabisa

Stories of Change - 2022 Competition

Katuri

New Member
Joined
Aug 25, 2018
Posts
1
Reaction score
1
Ni takribani miaka 39 tangu dunia ikumbwe na Janga hatari la kirusi cha UKIMWI. Hatua mbali mbali zimechukuliwa na wataalamu pamoja na mashirika ili kuhakikisha janga hili linatomezwa ulimwenguni.

Baadhi ya hatua hizo zimeleta manufaa katika upunguzaji wa maambukizi ya virusi vya UKIMWI, japo kumaliza kabisa maambukizi hazijafanikisha.

Hatua au njia ambazo zinatumika mpaka sasa ni hizi; Matumizi ya kondomu/ Kuepuka ngono nzembe, kuwa na mpenzi mmoja, kutochangia vitu vyenye ncha kali, kupima virusi vya UKIMWI mara kwa mara, matumizi sahihi ya ARV n.k.

Mimi kama mdau wa Afya, ninaweza weka au kupendekeza Mikakati kabambe ambayo endapo itafuatwa kwa angalau miaka 10 mbele basi itatokomeza au kupunguza virusi vya UKIMWI kwa kiwango kikubwa sana

1. WATU WAJIPIME WENYEWE (Self Testing)
Serikali itoe elimu namna ya watu kijipima virusi vya UKIMWI kama ambavyo wanawake wanavyojipima UJAUZITO hata nyumbani.
Vile vifaa vya kupimia virusi vya UKIMWI viuzwe maduka ya masawa kwa bei nafuu au viwe bure kabisa. Hii itasaidia sana kujua kama mtu unaetaka kutana nae kimwili kaathirika au laa.

2. MATUMIZI YA DAWA ZA KUZUIA VIRUSI VYA UKIMWI BAADA YA TENDO.
Watu wengi hawajui kwamba unaweza zuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI hata kama umeshiriki tendo la ndoa na mtu ambae ana maambukizi tayari ikiwa tu utaanza dose kabla hayajapita masaa 72 yaani siku tatu. Hii kitaalamu inaitwa POST -EXPOSURE PROPHYLAXIS (PEP). Watu wajulishwe hili swala, ili ikitokea mtu kashiriki na mwenzi mwenye virusi vya UKIMWI au ambae hajui hali yake ya kiafya awahi hospitali mara moja kuanza dose ambayo anatumia kwa mwezi mmoja tu (HAPA SHIDA NI WATU HAWANA ELIMU AU HAWAFAHAMU KUWA HILI JAMBO LIPO NA LINAWEZEKANA, WATU WAPEWE ELIMU)

3. KUWEPO KWA SHERIA KALI KWA ATAKAE AMBUKIZA MWINGINE VIRUSI VYA UKIMWI KWA MAKUSUDI.
kuna vijana wengine wanajijua wanaishi na virusi vya UKIMWI, na labda wanatumia dawa kabisa, lkn hawawezi washirikisha wenzi wao kwa kuhofia kuachwa. Hili swala lazima linagaliwe upya, huyu mtu anapaswa kuhukumiwa kama muaji. Ikithibitika anajijua kama ana maambukizi na bado anasambaza tena kwa makuaudi basi adhabu yake isipungue miaka 30 jela maana huyu ni silent killer.

4. UTU NA BUSARA VITUMIKE.
Ukijua kama wewe ni muathirika tayari si vyema kutafuta mwenza ambae hana maambukizi. Kwa busara tu na upendo ni vyema ukatafuta mwenza ambae nae ana hali kama yako, hii itasaidia kuondoa ukakasi na wasiwasi wa kupata maambukizi kwa ambae hana. Maisha yataendelea tu.

5. NJIA NYINGINE ZIENDELEE KUTUMIKA
Matumizi ya kondomu, Kuepuka Ngono Nzembe, kuwa na mpenzi mmoja, kupima afya mara kwa mara, matumizi sahihi ya ARV n.k.

Niiombe Serikali iendelee kutoa huduma, elimu na ushauri kwa watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI pamoja na UKIMWI. Wanafunzi wajifunze mapema sana toka Shule ya Msingi kuhusu UKIMWI.

Watu washiriki sana katika maswala ya dini, kama tunavyojua Dini inamchango mkubwa sana katika kuzuia mabaya katika jamii. Watu katika dini hufundishwa kutojihusisha na uzinzi na zinaa, hivyo itasaidia kupunguza maambukizi kwa kiasi kikubwa.

Kuendelea kuwakamata na kuwapa njia mbadala ya kupata kipato madada poa. Baadhi ya wanawake wamebadili miili yao kuwa biashara, sasa wajitokeze wadau ambao wanaweza wawezesha hawa wadada au kuwapa njia mbadala ya kujipatia kipato kuliko kuuza miili yao.

Nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa kutumia muda wako kusoma andiko hili. Kwa pamoja tunaweza kutokomeza virusi vya UKIMWI kwa matendo na sio siasa za Uongo.

Ahsanteni
Imendikwa na Noel Katuri
nkaturi6@gmail.com
 
Upvote 2

Kama dozi ya ukimwi ikipatikana kwa sh20000 tu kwa mwezi basi ukimwi utapungua kwa asilimia 80%.
Lakini kama dozi zitaendelea kutolewa bure tusahau kupunguza ukimwi nchini.
 
My Take: Na. 6.
Serikal ifuate mbinu zinazotumika na Nchi ya Korea Kaskazin kupambana na HIV/AIDS.
Wale jamaa ukikutwa na Hiv unapigwa Shaba kwahiyo Maambukiz kwao yako chin sana kwakuwa wanauwawa wakibainika na serikali.
Haijalishi uwe mtumishi au siyi Mtumishi lazima uuwawe.
Ukitaka kuingia nchi yao lazima upimwe ukibainika na huo Ugonjwa huruhusiw kuingia Nchi yao.
Kimsingi jamaa wapo vizur sana ktk kuoambana na Ukimwi bt sera zao kwetu huku utasikia watu wanaitwaHaki za Binadam ndio kasheshe inapoanza
 
Back
Top Bottom