Innocent Ngaoh
Member
- Jul 13, 2021
- 19
- 35
Upweke ni tatizo kubwa hususani vijana, unashangaa upo online masaa 24 kwenye mitandao ya kijamii.
Lakini...
Huna muda wala ukaribu na mtu wa karibu yako pengine majirani zako, kwa kisingizio unaishi maisha yako hivyo wasikufate fuate, Kumbuka maisha bila watu hayana ladha.
Mitandao ya kijamii ni mizuri, lakini Tumia kwa kiasi kwa sababu imekuwa kawaida mtu kuwa mtumwa wa simu yake alinununua kwa pesa nyingi.
Unachanganyikiwa simu ikizima chaji au ukikosa bando, unahisi umepitwa na wakati kwa kutokuwa online looh! Inashangaza sana.
Hauna furaha kabisa kwa sababu...
Unatumia muda mwingi kufikiria au kuishi maisha ya mtu ambaye umeumuona mtandaoni kisa tu;
1. Ana followers wengi Instagram au Tik Tok.
2. Anapata likes nyingi na comments za kumwanga unadata unahisi wewe si kitu mbele ya watu Hahahha!
3. Wanaishi maisha ya kifahari
4. Wanapiga picha kali mara wapo Serena Hotel Au Serengeti national park kuona Simba
5. Wanamiliki vitu vya thamani kama simu ya iPhone macho matatu maskini wewe unatumia Tecno mkombozi wa wanyonge; unacheka Hahahha! Kama nakuona vile.
Ukweli ni kwamba...
Ambao unaona wana ushawishi na wanaishi maisha ya furaha kwenye mitandao ya kijamii wanaonyesha sehemu ndogo ya maisha yao.
Shida unaona ndiyo maisha yao halisi kwa asilimia 100% na kuishia kupata “Stress” za kujitakia.
Kumbe...
Tumia mitandao kwa faida na siyo kujilinganisha na watu wengine, ikiwa wewe unajua uhalisia wa maisha yako na nini unataka si ndiyo?
Kuwa makini na matumizi ya mitandao ya kijamii.
Jiulize swali hili rahisi.
Je, unaweza kukaa siku nzima bila kutumia simu yako na ukafanya shughuli zingine?
Kama jibu ni hapana mi ishara ni mtumwa wa mitandao ya kijamii na pengine ni mpweke sana.
Zingatia hili.
Mitandao ya kijamii Tumia kwa kiasi na Kumbuka kuishi vizuri na watu na si hivyo tu upweke hauondolewi na mitandao ya kijamii.
Isipokuwa
Upweke unaushinda kwa kushinda kwa kubaini kisababishi cha wewe kuwa mpweke (Taja Hapa).
Jifunze kutumia mitandao ya kijamii kwa kiasi na sio kuwa mraibu Upo tayari kwenda Bafuni kuoga ukiwa na simu.
Je, Umejifunza nini kwenye makala hii?