Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakuwaje na chuki na mtu unaemuona mtandaoni usiyemjua physically anafananaje?sio vizuri punguza chuki zisizo na maana!
Nisamehe baby akentake radhi
sijawai kufanya kitu kama hicho wala kufikiria kufanya kitu kama hicho
naona kiswahili kinakupa shida, rudia kusoma thread vizuri, i am more concern na akiandikacho tu,Unakuwaje na chuki na mtu unaemuona mtandaoni usiyemjua physically anafananaje?sio vizuri punguza chuki zisizo na maana!
shukrani miss chaggamuweke kwenye ignore list
put him/her/it kwenye ignore list
karibu tenashukrani miss chagga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeonaeee khaaa watu ni Nouma mazeeJf kungekua na maadmin km wa wasap Wallah vile humu kungebaki wawili tuu, mana ingekua n mwendo wa ....... REMOVED YOU
mkuu si umtaje tu huyo mtu... kwani ina cost sh ngapi?Habari zenu,
Hivi humu jf kuna jinsi ya kufanya usizione threads wala comments za mtu fulani???
Yani kuna mtu humu nikiona comments zake tu au threads zake nakosa hamu ya kula wiki nzima kwa jinsi anavyonichefua.
Muwe na week end njema
Haswaaaa. Ndio utatuzi. Mie list yangu ya watu nilio ignore ni ndefu sana. Nina sababu zangu.put him/her/it kwenye ignore list
Haaa, chuki ni mkono wa shetani ujueHabari zenu,
Hivi humu jf kuna jinsi ya kufanya usizione threads wala comments za mtu fulani???
Yani kuna mtu humu nikiona comments zake tu au threads zake nakosa hamu ya kula wiki nzima kwa jinsi anavyonichefua.
Muwe na week end njema