JINSI YA KUJUA LOCATION YA MTU, SIMU ANAYOTUMIA , IP ADDRESS YAKE KWA KUTUMIA LINK TYUUUU
1. Tembelea website ya IPLogger:
Fungua website iplogger.org.
2. Ingiza link unayotaka kuficha:
Katika sehemu ya kuweka link, ingiza link unayotaka mtu afike nayo β kwa mfano, link ya video yako ya TikTok, au link ya tovuti unayotaka.
3. IPLogger itaunda link mpya (tracking link):
Link hii mpya itakuwa na rangi nyekundu na mtu anapobonyeza, taarifa zake zitaonekana kwenye statistics zako.
4. Tumia link ya access to statistics:
Hii ni link unayotumia wewe kuona taarifa zote za watu waliobonyeza link yako.
Faida na Tahadhari
Faida:
Kujifunza ni wapi watu wanatoka (location).
Kujua muda gani watu wanatembelea.
Tahadhari:
Usitumie kuharibu au kuudhi watu.
Usiandike link kama ni phishing au link za kuiba taarifa za watu.
Hii ni kwa ajili ya madhumuni ya kuelimisha
Hakikisha mtu anayepokea link anajua na anakubali kuangalia content hiyo.

Akitumia VPN hutaona.JINSI YA KUJUA LOCATION YA MTU, SIMU ANAYOTUMIA , IP ADDRESS YAKE KWA KUTUMIA LINK TYUUUU
1. Tembelea website ya IPLogger:
Fungua website iplogger.org.
2. Ingiza link unayotaka kuficha:
Katika sehemu ya kuweka link, ingiza link unayotaka mtu afike nayo β kwa mfano, link ya video yako ya TikTok, au link ya tovuti unayotaka.
3. IPLogger itaunda link mpya (tracking link):
Link hii mpya itakuwa na rangi nyekundu na mtu anapobonyeza, taarifa zake zitaonekana kwenye statistics zako.
4. Tumia link ya access to statistics:
Hii ni link unayotumia wewe kuona taarifa zote za watu waliobonyeza link yako.
Faida na Tahadhari
Faida:
Kujifunza ni wapi watu wanatoka (location).
Kujua muda gani watu wanatembelea.
Tahadhari:
Usitumie kuharibu au kuudhi watu.
Usiandike link kama ni phishing au link za kuiba taarifa za watu.
Hii ni kwa ajili ya madhumuni ya kuelimisha
Hakikisha mtu anayepokea link anajua na anakubali kuangalia content hiyo.
Akitumia VPN hutaona.
It depend ni vpn ipi hizi vpn zenu za free huko playstore anakuona vizuri tuAkitumia VPN hutaona.
Kama uko katika level ya kuwa targeted na Pegasus una disconnwct from internet.Ukitumia PEGASUS Spyware unaweza kuona kila kitu hata kama atatumia VPN au Antivirus iliyo strong kiasi gani.
Free is expensive.It depend ni vpn ipi hizi vpn zenu za free huko playstore anakuona vizuri tu
JINSI YA KUJUA LOCATION YA MTU, SIMU ANAYOTUMIA , IP ADDRESS YAKE KWA KUTUMIA LINK TYUUUU
1. Tembelea website ya IPLogger:
Fungua website iplogger.org.
2. Ingiza link unayotaka kuficha:
Katika sehemu ya kuweka link, ingiza link unayotaka mtu afike nayo β kwa mfano, link ya video yako ya TikTok, au link ya tovuti unayotaka.
3. IPLogger itaunda link mpya (tracking link):
Link hii mpya itakuwa na rangi nyekundu na mtu anapobonyeza, taarifa zake zitaonekana kwenye statistics zako.
4. Tumia link ya access to statistics:
Hii ni link unayotumia wewe kuona taarifa zote za watu waliobonyeza link yako.
Faida na Tahadhari
Faida:
Kujifunza ni wapi watu wanatoka (location).
Kujua muda gani watu wanatembelea.
Tahadhari:
Usitumie kuharibu au kuudhi watu.
Usiandike link kama ni phishing au link za kuiba taarifa za watu.
Hii ni kwa ajili ya madhumuni ya kuelimisha
Hakikisha mtu anayepokea link anajua na anakubali ku
Expensive howFree is expensive.
I have never used a free VPN in my life.
Kama uko katika level ya kuwa targeted na Pegasus una disconnwct from internet.
Mfano services nyingi free online you pay with your information and it could end costing you highly.E
Expensive how
Pegasus is not cheap. Tanzania walijaribu trial version wakashindwa kulipia.Kwani unafikiri Watu wanaharakati wa mitandaoni ambao wamekuwa wakitekwa huwa mwanzo wa kutekwa kwao huwa ni Nini/wapi? Ni Pegasus!