Jinsi ya kutrack location ya mtu kwa kutumia simu yako (Your Device)

Jinsi ya kutrack location ya mtu kwa kutumia simu yako (Your Device)

Pegasus is not cheap. Tanzania walijaribu trial version wakashindwa kulipia.
Wanaitumia, lakini ni Old Version.

WaIsrael wamewauzia Toleo la App hiyo linaloendana na thamani ya fedha yao. Value for money ndio waliyozingatia Wataalamu wa Israel.
 
Ukitumia PEGASUS Spyware unaweza kuona kila kitu hata kama atatumia VPN au Antivirus iliyo strong kiasi gani.
Unaongea kujifurahisha au unaongea kitu usichokijua mkuu?
Pegasus uitumie ukiwa umeitoa wapi?

Kama kufuatilia simu moja inaweza gharimu mpaka Milioni 800, we ulipie pegasus milioni 800 kwaajili ya kumfuatilia nani?

Pegasus ni costful sana mkuu na Mpaka serikali ya israel iruhusu ndio wanakuuzia, Ghana walilipa NSO dola milioni nane $8M kwaajili tu ya kufuatilia device 25, na assume hapo kabla hata android 12+ hazijatoka so now kwa simu moja kuifuatilia inaweza gharimu Bilioni moja Tsh.
 
Back
Top Bottom