Jinsi ya kutuma fedha kutoka U.S.A kuja Tanzania

Una options zifuatazo:
1. Akutumie kwa wired transfer ambapo pamoja na number yako ya account itabidi umpatie SWIFT address ya crdb ambayo ni CORUTZTZ

2.Akutumie kwa western union

3.Akutumie kwa MoneyGramm

4.Akutumie kwa WorldRemitt huduma ambayo utapokelea pale PBZ Bank kariakoo (Swahili Mkunguni streets junction).

Katika njia zote hizo ya mwisho ndio gharama nafuu zaidi.

Alamsiki.
 
western Union mimi huwa naitumia
 


Je Natahitajika kufungua akaunti kwa option hizo ilizonitajia??
 
Western union ila muweleze awaambie anataka ziingie kwenye akaunti yako ya M-pesa.utapokea kama mpes ya kawaida na utaitoa kwa wakala yeyote wa mpesa hata kama ni kijijini...very convinience
 
Western Union hata Posta unaenda kutoa muhimu uwe na passport number za akutumiae.ila Money gram ndo rahisi zaidi.
 
Step zinakuwaje Mkuu japo kwa ufupi?

We utampa jina kamili lilopo kwenye kitambulisho chako chako cha uraia au kura then yeye ataenda kuituma kwa jina hilo na atapewa swali la siri na jibu lake na transaction codes hiyo vyote atakurushia wewe maana vitatumika kujaza kwenye form ambayo utaitumia kutoa pesa kwenye bank ambayo ni agent wa western union makato yatafanyika upande wa sender ila akutajie na amount sent.
 

Naskkuru sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…