Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una options zifuatazo:
1. Akutumie kwa wired transfer ambapo pamoja na number yako ya account itabidi umpatie SWIFT address ya crdb ambayo ni CORUTZTZ
2.Akutumie kwa western union
3.Akutumie kwa MoneyGramm
4.Akutumie kwa WorldRemitt huduma ambayo utapokelea pale PBZ Bank kariakoo (Swahili Mkunguni streets junction).
Katika njia zote hizo ya mwisho ndio gharama nafuu zaidi.
Alamsiki.
Step zinakuwaje Mkuu japo kwa ufupi?
We utampa jina kamili lilopo kwenye kitambulisho chako chako cha uraia au kura then yeye ataenda kuituma kwa jina hilo na atapewa swali la siri na jibu lake na transaction codes hiyo vyote atakurushia wewe maana vitatumika kujaza kwenye form ambayo utaitumia kutoa pesa kwenye bank ambayo ni agent wa western union makato yatafanyika upande wa sender ila akutajie na amount sent.
Je Natahitajika kufungua akaunti kwa option hizo ilizonitajia??
Hio ya mwanzo account unesema uko nayo tayari si ndio?
Hizo zilobakia hazina haja ya account mkuu.