Jinsi ya kutumia huduma ya usajili wa Jina la Biashara kwenye mfumo wa BOS

BRELA

Govt Institution
Joined
Dec 14, 2023
Posts
119
Reaction score
89
Hujambo! na Karibu, video hii itakufundisha Jinsi ya kutumia huduma ya usajili wa Jina la Biashara kwenye mfumo wa BOS.

Baada ya kuingia kwenye mfumo, utabofya sehemu iliyoandikwa Business Names na ukurasa ukifunguka utaona huduma zinapatikana kama vile

  • Bussiness Names – Hapa utaweza kusajili Jina la Biashara kwa kujaza taarifa zako sahihi kadiri utakavyoelekezwa na mfumo.
  • Data Update – Kwa kubofya sehemu hii utaweza kuhuisha taarifa za Jina la Biashara.
  • Change Services – Katika sehemu hii utaweza kufanya mambadiliko ya taarifa za Jina la Biashara, kumbuka kuambatisha nyaraka muhimu ya fomu namba 06 wakati wa kufanya mabadiliko.
  • Annual Mantainance - Huduma hii inakuwezesha kuwasilisha ombi la kufanya malipo ya ada ya mwaka ya matunzo ya Jina la Biashara
  • Name Cessation – Katika huduma hii, utaweza kuwasilisha maombi ya kusitisha/kufunga jina lako la biashara, na hapa nyaraka zinazotumika kama viambatisho kujaza fomu namba 7.
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti: www.brela.go.tz

Au tupigie kwa simu namba +255 222 212 800

Hujambo! na Karibu, video hii itakufundisha Jinsi ya kutumia huduma ya usajili wa Jina la Biashara kwenye mfumo wa BOS.

Baada ya kuingia kwenye mfumo, utabofya sehemu iliyoandikwa Business Names na ukurasa ukifunguka utaona huduma zinapatikana kama vile

  • Bussiness Names – Hapa utaweza kusajili Jina la Biashara kwa kujaza taarifa zako sahihi kadiri utakavyoelekezwa na mfumo.
  • Data Update – Kwa kubofya sehemu hii utaweza kuhuisha taarifa za Jina la Biashara.
  • Change Services – Katika sehemu hii utaweza kufanya mambadiliko ya taarifa za Jina la Biashara, kumbuka kuambatisha nyaraka muhimu ya fomu namba 06 wakati wa kufanya mabadiliko.
  • Annual Mantainance - Huduma hii inakuwezesha kuwasilisha ombi la kufanya malipo ya ada ya mwaka ya matunzo ya Jina la Biashara
  • Name Cessation – Katika huduma hii, utaweza kuwasilisha maombi ya kusitisha/kufunga jina lako la biashara, na hapa nyaraka zinazotumika kama viambatisho kujaza fomu namba 7
Swadakta.
Mlikuwa wapi siku zote kutoa elimu?

Je kusajili kampuni muongozo no upi?
 
Back
Top Bottom