Jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii bila bando

Jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii bila bando

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Watu wengi mmekuwa mkitumia pesa nyingi kuweka bando wengine mkikosa bando mnakuwa wapweke sana leo nitakufundisha jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii bila kuwa na bando[emoji91]

KUNA NJIA TATU ZA KUTUMIA MITANDAO BILA BANDO

Nitawafundisha njia moja 1 kwanza kabisa hakikisha simu yako haina bando (yani bando liwe limeisha uwe na Mb 0)

Alafu sasa ndo ujiulize utatumiaje mtandao wa kijamii wakati hauna bando

NJIA PEKEE NI KUTAFUTA AFUTATU NA KWENDA DUKANI KUNUNUA BANDO.

FB_IMG_1668410135521.jpg
 
Back
Top Bottom