Jinsi ya kutumia mtandao wa X kwenye Windows laptop.

Jinsi ya kutumia mtandao wa X kwenye Windows laptop.

General Nguli

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
1,287
Reaction score
2,663
Nimekuwa na changamoto ya kutumia mtandao wa X kwenye Laptop yangu
Ninatumia mtandao wa X zamani tweet kwa miaka kadhaa.Lakini imekuwa changamoto sana kwenye Laptop yangu Tangu matumizi ya VPN yaanze kutumika.

Naomba kujua namna notakavyo Counter hili tatizo.
Natanguliza shukrani
 
suluhisho ni kuweka vpn, kwa haraka weka opera browser wana built-in vpn, kwa usaidizi wa AI utafanikisha
 
Back
Top Bottom