๐—๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ถ๐—ณ๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ผ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


Hivi unajua kwenye simu yako unaweza kumpigia mtu simu kupitia wifi sio lazima hutumie line iliyopo kwenye simu yako ??

Najua wengi walikua hawajui hii ๐Ÿ‘‹ Leo nakujuza kupitia @bongotech255 usisahau ku share kwa wengine tujifunze sote.

Wifi calling, ni Teknolojia inayokuwezesha kupiga simu na kutuma ujumbe (message) kupitia mtandao wa wifi ikiwa line yako haifanyi kazi au eneo ulilopo mtandao huko chini.

Mfumo huu unafanya kazi ikiwa simu yako imeunganishwa na wifi, unafanyaje kuunganisha mfumo huu kwenye simu yako.



Fungua simu yako Kisha ingia setting kwenye simu yako
Kisha >> calls >> wifi calling >> kama simu yako Haina mfumo huu pia unaweza tumia mfumo wa voice over IP calling utaiona kwenye simu yako.



Watumiaji wa iphone ingia setting Kisha phone halafu chagua wifi calling weka on โœ‹.



Baada ya kuunganisha Sasa utaweza kutumia wifi kuweza kupiga simu kama unavyopiga ukiwa na line ya simu yako.



Kwani ukiwa imeunganishwa utaona neno "internet call" au "Wifi calling" kupitia notification iliyopo kwenye simu yako.

#wificalling #bongotech255
 
Mara ya mwisho niliona kwenye line ya YAS sasa hivi nimeona na VodaCom inasupport hii feature.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ