Dr wa Kaliua JF-Expert Member Joined Sep 20, 2020 Posts 1,634 Reaction score 3,833 Sep 16, 2022 #1 Kuna baadhi ya watu wanamaliza mikataba na bado Vyombo vyao vinakuwa imara kabisa Sasa ndugu zangu ni mambo gani ya kuzingatia ili kutunza Bajaj Karibuni Sana
Kuna baadhi ya watu wanamaliza mikataba na bado Vyombo vyao vinakuwa imara kabisa Sasa ndugu zangu ni mambo gani ya kuzingatia ili kutunza Bajaj Karibuni Sana
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,095 Reaction score 22,731 Sep 18, 2022 #2 Kichwa cha habari kilitakiwa kusema Ni namna gani ya kutunza Bajaji ili idumu?