Jinsi ya kutunza chombo Cha Moto(BAJAJ)

Jinsi ya kutunza chombo Cha Moto(BAJAJ)

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Kuna baadhi ya watu wanamaliza mikataba na bado Vyombo vyao vinakuwa imara kabisa

Sasa ndugu zangu ni mambo gani ya kuzingatia ili kutunza Bajaj

Karibuni Sana
 
Kichwa cha habari kilitakiwa kusema Ni namna gani ya kutunza Bajaji ili idumu?
 
Back
Top Bottom