Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

Unasafisha nje si kuwa unaingiza na kufokoa humo ndani, naturally nyapu inajiflush kila baada ya masaa nane.
Ndugu Yangu hizo wipes simshauri kuna kipindi nilikua nazitumia kila nikienda haja ndogo aseeee zinaunguza ngozi unababuka
 
Hivi Doctor kwa wale wenye vibamia wanaweza kutungisha mimba kweli maana sperm zao ziaishia kwenye acid na kuungua
 
Hivi Doctor kwa wale wenye vibamia wanaweza kutungisha mimba kweli maana sperm zao ziaishia kwenye acid na kuungua
..Inawezekana atumie styles za deep penetration,chuma mboga Ivii,doggy n.k
 
Unasafisha nje si kuwa unaingiza na kufokoa humo ndani, naturally nyapu inajiflush kila baada ya masaa nane.
Sawa....Ila sasa nje ndio kuna athirika au ni nje? Coz hapo umeongelea pH ya ndani ya uke au hiyo pH ni ya nje? Msaada tafadhali. Au unaposema nje unamaanisha nje ya nini?
 
PH ya uke haiwezi kuhamia midomoni mwa wazama chumvini?
 
Yani mkuu......kama utafuta tuu nje , ina maana zile za ndani still zitaongeza pH..hapa ndio ninapopata ukakasi....
No ni hivi kwa hali ya kawaida damu ya binadamu inatakiwa kuwa kwenye pH level 7.35-7.45 sasa kama uke uko acidic na sperms ziko alkaline inamaana hali ina jibalance yenyewe
 
Siyo sahihi
 
duh kazi ipo...maana mchepuko wangu akija home nikitupiamo wazungu sasa ikifika asubuhi naogopa hata kumgusa maana huko downstairs kunakuwa na ka harufu kama tuko Feri.....inaonekana ka eco syteam kake kabovu nini?
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Siongeagi kitu ambacho sina uhakika nacho mkuu, hata sex workers na wale walio katika hatari ya maambukizi hupewa dawa hizo, labda ulipo hawana utaratibu hou.
Huna habari ARV ni mojawapo ya dawa zinazoua cell ambukizi na cell hai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…