Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,189
- 1,217
- Thread starter
- #181
..karib tena mkuuAsanteeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..karib tena mkuuAsanteeee
Ndugu Yangu hizo wipes simshauri kuna kipindi nilikua nazitumia kila nikienda haja ndogo aseeee zinaunguza ngozi unababukaUnasafisha nje si kuwa unaingiza na kufokoa humo ndani, naturally nyapu inajiflush kila baada ya masaa nane.
..Pole Kiongozi,zina Effects hiziNdugu Yangu hizo wipes simshauri kuna kipindi nilikua nazitumia kila nikienda haja ndogo aseeee zinaunguza ngozi unababuka
..Inawezekana atumie styles za deep penetration,chuma mboga Ivii,doggy n.kHivi Doctor kwa wale wenye vibamia wanaweza kutungisha mimba kweli maana sperm zao ziaishia kwenye acid na kuungua
ahaa kwa hiyo style hizo Papuchi hupungua KINA?..Inawezekana atumie styles za deep penetration,chuma mboga Ivii,doggy n.k
..ndio Lengo Ili umwage sperms karibu na Cervixahaa kwa hiyo style hizo Papuchi hupungua KINA?
Sawa....Ila sasa nje ndio kuna athirika au ni nje? Coz hapo umeongelea pH ya ndani ya uke au hiyo pH ni ya nje? Msaada tafadhali. Au unaposema nje unamaanisha nje ya nini?Unasafisha nje si kuwa unaingiza na kufokoa humo ndani, naturally nyapu inajiflush kila baada ya masaa nane.
unavyochutama na kuosha uke kama kawaida.Sawa....Ila sasa nje ndio kuna athirika au ni nje? Coz hapo umeongelea pH ya ndani ya uke au hiyo pH ni ya nje? Msaada tafadhali. Au unaposema nje unamaanisha nje ya nini?
Yani mkuu......kama utafuta tuu nje , ina maana zile za ndani still zitaongeza pH..hapa ndio ninapopata ukakasi....unavyochutama ns kuosha uke kama kawaida.
Si ndiyo kinachowavutia mkuu.PH ya uke haiwezi kuhamia midomoni mwa wazama chumvini?
Umepotosha sana kwa hiloHIV iko controlled nowadays, kama hutaki kupata wewe kunywa ARV's vidudu haviwezi kunasa vinateleza tu.
Siyo sahihiKama unaishi na partner au mke/mume ambae ni muathirika, madaktari watakwambia utumie ARV ili kujilinda, kama umefanya ngono zembe unashauriwa kuanza kunywa ARV's within 72 hours after, kabla virus hawajajiattach kwenye cells zako na kuanza kuriplicate. The same way, ukiwa na partner ambae humwamini, unakunywa ARV, hata kama ana VVU haviwezi kureplicate kwani ARV ina inhibit.
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaduh kazi ipo...maana mchepuko wangu akija home nikitupiamo wazungu sasa ikifika asubuhi naogopa hata kumgusa maana huko downstairs kunakuwa na ka harufu kama tuko Feri.....inaonekana ka eco syteam kake kabovu nini?
Siongeagi kitu ambacho sina uhakika nacho mkuu, hata sex workers na wale walio katika hatari ya maambukizi hupewa dawa hizo, labda ulipo hawana utaratibu hou.Siyo sahihi
Huna habari ARV ni mojawapo ya dawa zinazoua cell ambukizi na cell hai!Siongeagi kitu ambacho sina uhakika nacho mkuu, hata sex workers na wale walio katika hatari ya maambukizi hupewa dawa hizo, labda ulipo hawana utaratibu hou.