http://www.google.co.uk/url?sa=t&rc...160314&usg=AFQjCNFOOzF0BjK9pW9ERDbiMS_e702iyQHuna habari ARV ni mojawapo ya dawa zinazoua cell ambukizi na cell hai!
Mh, my dear, kama una ndugu na wampenda, jinsi tunavyopendana humu, mshauri asitumie.
Ni kama health promotions zote tunazopewa, ni elimu na una hiari ya kuchukua au kuacha, uzuri kama unajijua uko katika hatari ya maambukizi unaweza kutumia ARV's na kuziacha hatari inapokwisha au ukiamua kubadilisha tabia.Mh, my dear, kama una ndugu na wampenda, jinsi tunavyopendana humu, mshauri asitumie.
Kulinda kinga ya mwili wako ni lishe bora na tabia ya kutunza afya ya mwili wako. Mada kuu imeshauri njia moja ya huo usafi wa mwili ambayo ndiyo moja ya lango kuu la maambukizi.
Ujumbe uliomo kwenye link hiyo si wa kibiashara tu, pia ni wa maangamizo. Ukitambua walengwa wa huo mpango, utaelewa pingamizi na ushauri wangu.
Nina wasiwasi huyu mpenzi wako/ mchepuko ana uambukizo wa bacterial vaginosis (BV). Uambukizo wa bacteria hawa ndiyo unaoleta harufu ya samaki waliochina au kuoza. Nashauri muende wote kituo cha huduma za afya kilicho karibu mukapimwe na kutibiwa. BV isipotibiwa kwa muda mrefu husababisha Pelvi Inflamatory Disease (PID) ambayo hatima yake ni ugumba/ kutoshika mimba.duh kazi ipo...maana mchepuko wangu akija home nikitupiamo wazungu sasa ikifika asubuhi naogopa hata kumgusa maana huko downstairs kunakuwa na ka harufu kama tuko Feri.....inaonekana ka eco syteam kake kabovu nini?
Kwa wale tunaochubuka ukeni na mapajani kwa msuguano wa mwili, tuwe tunapaka mafuta ganiNi kama health promotions zote tunazopewa, ni elimu na una hiari ya kuchukua au kuacha, uzuri kama unajijua uko katika hatari ya maambukizi unaweza kutumia ARV's na kuziacha hatari inapokwisha au ukiamua kubadilisha tabia.