Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

Mh, my dear, kama una ndugu na wampenda, jinsi tunavyopendana humu, mshauri asitumie.

Kulinda kinga ya mwili wako ni lishe bora na tabia ya kutunza afya ya mwili wako. Mada kuu imeshauri njia moja ya huo usafi wa mwili ambayo ndiyo moja ya lango kuu la maambukizi.

Ujumbe uliomo kwenye link hiyo si wa kibiashara tu, pia ni wa maangamizo. Ukitambua walengwa wa huo mpango, utaelewa pingamizi na ushauri wangu.
 
Ni kama health promotions zote tunazopewa, ni elimu na una hiari ya kuchukua au kuacha, uzuri kama unajijua uko katika hatari ya maambukizi unaweza kutumia ARV's na kuziacha hatari inapokwisha au ukiamua kubadilisha tabia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
duh kazi ipo...maana mchepuko wangu akija home nikitupiamo wazungu sasa ikifika asubuhi naogopa hata kumgusa maana huko downstairs kunakuwa na ka harufu kama tuko Feri.....inaonekana ka eco syteam kake kabovu nini?
Nina wasiwasi huyu mpenzi wako/ mchepuko ana uambukizo wa bacterial vaginosis (BV). Uambukizo wa bacteria hawa ndiyo unaoleta harufu ya samaki waliochina au kuoza. Nashauri muende wote kituo cha huduma za afya kilicho karibu mukapimwe na kutibiwa. BV isipotibiwa kwa muda mrefu husababisha Pelvi Inflamatory Disease (PID) ambayo hatima yake ni ugumba/ kutoshika mimba.
 
Ni kama health promotions zote tunazopewa, ni elimu na una hiari ya kuchukua au kuacha, uzuri kama unajijua uko katika hatari ya maambukizi unaweza kutumia ARV's na kuziacha hatari inapokwisha au ukiamua kubadilisha tabia.
Kwa wale tunaochubuka ukeni na mapajani kwa msuguano wa mwili, tuwe tunapaka mafuta gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom